stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,071
- 39,127
ungana na wenzako mzunguke Nairobi nzima, Mtafute glass building yoyote nchi nzima mje mtuleteeChadema inahusika na nini umasikini wa maendeleo uliopo Tanzania?
Alafu mimi siipingi serikali yenu kwa sababu nina chochote na chadema sina yani nikilinganisha tu infrastructures za kenya na bongo ni mbingu na ardhi
View attachment 3684837
Hii ni nini wewe?
Nionyeshe beseni lenu la Mkapa au la arusha likiwa na hivi viti
View: https://www.youtube.com/shorts/V9IxY3gXk6s