stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,026
- 39,055
sio pillars tu hata field haionekan , infact huyu aliepiga picha kasimama bado haoni field
View: https://www.facebook.com/nyeridaiynewspaper/posts/talanta-stadiums-sky-boxes-nearing-completion/3321083794767897/
Btw they are ready for AFCON tusiwaseme sana
Hapa ni Hatua baada ya hatua simba mwenda pole ndiye mla nyama sio jamaa wa kaskazini wanakimiza kwa ajili ya kampeni za uchaguzi mwakanihuu unaitwa ujenzi wa raha, unajenga ukiwa mafuta yanakufuata, wakati wale wengine mpaka leo hawajui wanatoa wap mafuta
Wakisha panda matatu zenu wanafika huku kutalii 🤣🤣the slum is so interesting bana
View attachment 3684227
Chnagaa inapikwa live duh hata makarau huja kupata chupa huku 😁
Propaganda in Chief … keep shining 💩… hapa tunacheka tu …🤣🤣🤣🤣🤣🤣
ukiambiwa ukwel unasema propaganda 🤣 🤣Propaganda in Chief … keep shining 💩… hapa tunacheka tu …🤣🤣🤣🤣🤣🤣
You won’t recognize ukweli if it smashed you in your face ..ukiambiwa ukwel unasema propaganda 🤣 🤣