Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hili likiwanja la Olympic lina hivi viti VIP tu!

Viti kwingine kote ni kama vya walemavu unaenda na kukaa havikunjiki, vya Talanta stadium the whole stadium vinakunjika
Nilikua najibu huu upuuzi uliojaribu kuudanganya umma lakini. 👇🏾 nimekujibu right.? Au ni nongwa za Chadema ndio umeleta humu. 😂😂😂
Hakuna uwanja bongo una viti kama hivi, bongo hakuna express way, bongo ni kunanuka kila baada ya mitaa miwili

Toka airport hadi banda la ngozi kuna maeneo mawili yananuka ajabu

Tabata mwananchi pananuka, mombasa kuna machinjio 🤮🤮

Shekilango 🤮🤮🤮 Mlalakuwa 🤮🤮🤮
N who told you kwamba viti vyote Talanta stadium vinakunjika.? Unaleta uongo wa heche huku kwa wasomi jomba.? 😂😂😂😂
 
Atlanta , Georgia…. 😜😜
IMG_9993.jpeg
IMG_9992.jpeg
IMG_9991.jpeg
 
Nilikua najibu huu upuuzi uliojaribu kuudanganya umma lakini. 👇🏾 nimekujibu right.? Au ni nongwa za Chadema ndio umeleta humu. 😂😂😂
Chadema inahusika na nini umasikini wa maendeleo uliopo Tanzania?

Alafu mimi siipingi serikali yenu kwa sababu nina chochote na chadema sina yani nikilinganisha tu infrastructures za kenya na bongo ni mbingu na ardhi
N who told you kwamba viti vyote Talanta stadium vinakunjika.? Unaleta uongo wa heche huku kwa wasomi jomba.? 😂😂😂😂
198037.jpg

Hii ni nini wewe?
Nionyeshe beseni lenu la Mkapa au la arusha likiwa na hivi viti
 
Best roads unamaanisha nini?
Kama hii na unajua hapa ni Kiambu County? Sio hata Nairobi 😆😆 hii si ndo barabara ya Kimara hadi Kibaha 🤮🤮
198039.jpg

Unamaanisha nini, soyo ya uhakika?
Gridi ya umeme inazima mara kwa mara treni halisafiri mara lidondoke yani tafrani
Longest unamaanisha ngapi?
More tham 602 currently on operational
Aisee,.unatumia Mirungi, visungura au ndio hukubahatika kuzaliwa na akili?
198042.jpg

Hii ni flyover ya 700 kama sio 800 Kenya
 
Kama hii na unajua hapa ni Kiambu County? Sio hata Nairobi 😆😆 hii si ndo barabara ya Kimara hadi Kibaha 🤮🤮
View attachment 3684838

Gridi ya umeme inazima mara kwa mara treni halisafiri mara lidondoke yani tafrani

More tham 602 currently on operational

View attachment 3684840
Hii ni flyover ya 700 kama sio 800 Kenya
Mbn uchafu mwingi hiviii, yn ni kinyaa
 
Kama hii na unajua hapa ni Kiambu County? Sio hata Nairobi 😆😆 hii si ndo barabara ya Kimara hadi Kibaha 🤮🤮
View attachment 3684838

Gridi ya umeme inazima mara kwa mara treni halisafiri mara lidondoke yani tafrani

More tham 602 currently on operational

View attachment 3684840
Hii ni flyover ya 700 kama sio 800 Kenya
jumlisha zote then give us an answer, Foleni zimeisha? 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom