Huoni mwezako akisema venye kuna uvundo from mtaa to mtaa...kuna city ina uvundo kushinda hio kichaka yenu 🤣 🤣 🤣 kama sisi tuna uvundo nyie itakuaje sasa
Huoni mwezako akisema venye kuna uvundo from mtaa to mtaa...kuna city ina uvundo kushinda hio kichaka yenu 🤣 🤣 🤣 kama sisi tuna uvundo nyie itakuaje sasa
You won’t recognize ukweli if it smashed you in your face ..
Your posts are not meant for information but to influence using deceit and that’s what is defined as propaganda .
Hope CCM gives you a hefty bonus this year. You deserve it …🤣🤣🤣🤣
sisi tunajua propagandist alafu kuna data, 🤣🤣 Nairobi is ranked #2 in afrika with bad smell, #2 globally largest slum and has the worst standard of living in afrika, sasa apo umiza kichwa 🤣🤣🤣Huoni mwezako akisema venye kuna uvundo from mtaa to mtaa...
Katika ziara kidogo pale IG naona wanauziwa magari za 2008/2012 kama brand new, ati ndio imeland 😅Huoni mwezako akisema venye kuna uvundo from mtaa to mtaa...
Ukunyan hakuna BRT system,ukunyan hakuna electric train,ukunyan ndipo inapopatikana big slum in the world 🤮🤮
Yani Trump ana miaka 80 anatukanwa na kubagazwa na wananchi wake waziwazi maana ni mtumishi wao.Tofautisha freedom na ukosefu wa adabu.
Endelea kumuimba huyo mama yako nusu Mungu atukuzweAlafu possible wap umesema? 🤣 🤣 🤣 🤣 na wakaweka mabango sio
kinyonge sana shida nn, ulitaka kuimbiwa wewe auEndelea kumuimba huyo mama yako nusu Mungu atukuzwe
kule hawachapi watoto uku unakula stiki, ukitaka kutukana president nenda kwa trump ila as long upo apa utajifunza kuishi kwa adabu na kila mtu kwa kufuata sheria zoteYani Trump ana miaka 80 anatukanwa na kubagazwa na wananchi wake waziwazi maana ni mtumishi wao.
Ruto nchi yake iliyoendelea kuishinda Tanzania Rais wake wa sasa na aliyepita anatukanwa na kubezwa kwa makosa ya kiutendaji na hafanyi kitu zaidi ya kuwa prove wrong
Ije kuwa Samia mwenye miaka 66? Mdogo kuliko baba yangu na mama yangu ndo asibezwe awe Mungu aimbwe na kila mtu?
Samia ambaye miaka 80 hatokaa aifikishe ni Mungu Tanzania yani hata ukimuita tu Rais wa hovyo wewe umepotea huyo si Mungu sasa maana Mungu ndo hadhihakiwi
unajua nn kuhusu roadsKenya kuna best roads Tanzania nzima sio dar ni hakuna.
Sgr train hii ambayo si ya uhakika?
Kenya wana longest sgr railways na wanapanua zaidi yetu kufika tu Mwanza inasadikika itafika 2030
Lets make a left turn, your are skipping some infoKenya kuna best roads Tanzania nzima sio dar ni hakuna.
Sgr train hii ambayo si ya uhakika?
Kenya wana longest sgr railways na wanapanua zaidi yetu kufika tu Mwanza inasadikika itafika 2030