Madrid boy
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 895
- 615
Wakenya wanatamani nchi yao ingekua karibu na Marekani wanaishobokea marekani na Ulaya hawa.Mtupe taarifa round hii trump kawarudisha wangapi



Ukweli huu hapakelele za chura (ldc Tanzania) hazizuii ngombe kunywa maji.....hahaha
![]()
mount kilimanjaro inaingiza watalii zaidi ya idadi ya watalii wote kenya nzima kama unabisha sema tuKeep telling them! When KQ took a marketing scoop to brand one if it's planes Kilimanjaro,they were all over...mlima,mlima ni wetu...but doing nothing extra to market themselves. Ndio mlima ni wao na KQ inapeperusha wa kuipanda! 😀😀😀
Kweli kabisa mnawork hard kwenye ukora hahahahWe care less .....we work hard
Tunawaelewa nyinyi ni shamba la bibi, yani mpaka Kokoto yenu hamuezi kutumia kujenga ya kwenu lakini za Qatar mnaweza? I can see the reason why hamfaidiki na madini yenu.Tununue kokoto-?? tununuaje kokoto wakati tuna plenty of it Qatar yenyewe inakuja kuchukua mawe tz kwenda kujengea viwanja vya kombe la dunia kama unarafiki yako anafanya kazi Bandari ya dar es salaam muulize
Sema hujaelewa chochote babaa.povu la hasira.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
You work hard but you get less, poverty, hunger, unemployment, are live and well, what is the logic of working hard?We care less .....we work hard
povu hiloSema hujaelewa chochote babaa.

Nigga unafeliTunawaelewa nyinyi ni shamba la bibi, yani mpaka Kokoto yenu hamuezi kutumia kujenga ya kwenu lakini za Qatar mnaweza? I can see the reason why hamfaidiki na madini yenu.
mama yangu hadithi za sungura na Fisi zilipendwa hizo story

wachochole wa Nyerere😀😀😀😀😀LDC capital...Mungu ibariki tanzania
Tunajua hata Bakhressa ni msukuma.Wewe umesema kenya ni ya pili kwa kuwekeza Africa, Sasa hao Investors ni Locals black Kenyans au Wakoloni walio Kenya![]()
Du hizi mambo kama Mogadishu hatari wakija hapa jamii forum wanavimba kweli mashavu kama viboko Nairobi Nairobi kumbe hamna kitu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Bakhresa kazaliwa Tz, Wazazi wake wameishi Tz miaka na miaka Tangu ukoloni na utumwa.. Sema tu kwamba asili yake ni ya kihindiTunajua hata Bakhressa ni msukuma.