Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu wakubwa wanakanyaga ardhi iliyobarikiwa lkn hutaskia tukitangaza. Kwetu hiki ni kitu cha kawaida. RickRoss kaja, Omarion, Neyo ila hatuna sifa za kijinga km wenzetu Wa mathare

8074c8aa829d82327083b9c90d919e52.jpg
 
ilikua usambazane mchele tanzania
Tanzania safari hii mchele ni mwingi sana, watu hawahuitaji sana, mvua zimenyesha vizuri na mazao mavuno yamekuwa mengi, wafanyabiashara wa mchele kutoka Commoro wameshindwa, Kenyw hampendi sana mchele wala Zambia, hivi kwanini ninyi hampendi wali?
 
Watu wakubwa wanakanyaga ardhi iliyobarikiwa lkn hutaskia tukitangaza. Kwetu hiki ni kitu cha kawaida. RickRoss kaja, Omarion, Neyo ila hatuna sifa za kijinga km wenzetu Wa mathare

8074c8aa829d82327083b9c90d919e52.jpg
inaitwa kujitangaza...ina manufaa tele katika sekta ya tourism...kuweni wajanja...sahii mnafaa kuwa mnapata watalii milioni tano kuenda juu ila ujinga wenu umewakwamisha kwa mil 2, the same as Botswana...mtu kama usher akija serengeti ama kwingine huo ni muda wa kujitangaza duniani kote
 
Kenya is Africa's largest investor in Africa...watajua hawajui hawa mafala
When you say Kenya I hope you mean Locals.. Kama unamaanisha Kampuni cha Chinese au Holland yenye tawi Kenya ikaja kuwekeza Tz in the name of Kenyan Company that's nonsense
 
When you say Kenya I hope you mean Locals.. Kama unamaanisha Kampuni cha Chinese au Holland yenye tawi Kenya ikaja kuwekeza Tz in the name of Kenyan Company that's nonsense
Sasa kenya leo imekuwa Holland?:D:D:D:Dkwani kiingereza kigumu au?:D:D:D:DChina is an african country?:D:D:D:(:(:(nakushauri usome that statement again and again until you understand it
 
inaitwa kujitangaza...ina manufaa tele katika sekta ya tourism...kuweni wajanja...sahii mnafaa kuwa mnapata watalii milioni tano kuenda juu ila ujinga wenu umewakwamisha kwa mil 2, the same as Botswana...mtu kama usher akija serengeti ama kwingine huo ni muda wa kujitangaza duniani kote
Ask why he came first.. It means tunajitangaza... Sasa nyie hamjitangazi mnachofanya ni kuonesha Ushamba na kuringa
 
Ask why he came first.. It means tunajitangaza... Sasa nyie hamjitangazi mnachofanya ni kuonesha Ushamba na kuringa
your very stupid....usher or any other celebrity has alot of followers on social media...sasa ukijitangaza naye una appeal kwa hawa followers...we pimbi au?:D:D:Dkuna followers wajinga sana...akiskia jamaa wake yuko serengeti, anapanda ndege mara moja muenda kujionea....sasa mkinyamaza utalii unakua aje? ebu jiulize mbona Tanzania inashindwa kwa utalii na nchi kama Zimbabwe? Tanzania has more tourist attractions than Zimbabwe or Botswana but you receive less tourists...why?
 
Sasa kenya leo imekuwa Holland?:D:D:D:Dkwani kiingereza kigumu au?:D:D:D:DChina is an african country?:D:D:D:(:(:(nakushauri usome that statement again and again until you understand it
Wewe umesema kenya ni ya pili kwa kuwekeza Africa, Sasa hao Investors ni Locals black Kenyans au Wakoloni walio Kenya
 
Wewe umesema kenya ni ya pili kwa kuwekeza Africa, Sasa hao Investors ni Locals black Kenyans au Wakoloni walio Kenya
Kenya overtakes SA as biggest investor in African countries
the statement is very clear and easy...Kenya is Kenya my friend..Holland is Holland..China is China...sawa? inabidi nikutafsirie naona Kiingereza kimekuwa kigumu:D:D:D
kampuni kama Nakumatt, Tuskys, Brookside, Bidco na kadhalika zipo rwanda, soudan, somalia, Uganda, Nigeria na tanzania...KCB bank iko rwanda na Uganda...Equity Bank ya Kenya pia iko Sudan na Uganda
 
Back
Top Bottom