Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ukosefu wa ajira kwa ma-youth umeifikisha nairobi katika hali hii.

mapanyaroad (muggers) yametapakaa kila kona ya cbd hali ni mbaya sana.
7d4c512b9dac08ed73b5b33b8a067d79.jpg
2c4a6a1a5151ba343054cf375b44769c.jpg
Du hizi mambo kama Mogadishu hatari wakija hapa jamii forum wanavimba kweli mashavu kama viboko Nairobi Nairobi kumbe hamna kitu
 
Nyerere huyu hapa...a big waste to Tanzania...good for his political tenure, terrible for the economy...tanzania ni maskini sababu ya huyu jamaa
Africa’s greatest leader was a heroic failure
Tanzania at 50: Does Nyerere deserve the blame and praise for the country’s economic failure and political success
Hivi vyanzo vyote Ukifuatilia utaona ni wazungu Walioandika... Nyerere was Against all these retards.. Tuzo alizokuwa anapata Mandela ilitakiwa apewe Nyerere shida ilikuwa tu sababu nyerere aliwaamuru waondoke Nchini na yy alikua kinyume na wao
 
Nyerere was a great leader but his ujamaa system wasted you guys...ndio kachangia katika uLDC wenu huyo jamaa
he had his bad side, but at least katuachia umoja, upendo na mshikamano miongoni mwetu... pia alilinda rasilimali zetu zisitafunwe na wachache.

kenyatta senior kawaachia ukabila, pia yeye na watu wake wa karibu walihakikisha wanapora ardhi kubwa ya kenya na kujimilikisha wao wenyewe.
 
he had his bad side, but at least katuachia umoja, upendo na mshikamano miongoni mwetu... pia alilinda rasilimali zetu zisitafunwe na wachache.

kenyatta senior kawaachia ukabila, pia yeye na watu wake wa karibu walihakikisha wanapora ardhi kubwa ya kenya na kujimilikisha wao wenyewe.
 
Nyie ni cursed kabisaa asilimia 70 ya wakenya(locals) maisha yao individually ni mabaya sana, wengi ni maskini, vijakazi kwenye makampuni ya wazungu, hawana Ardhi yani wapowapo tu.. Wakati Mnaemuita maskini Tz ana shamba la heka 100 na halali njaa
b719bead370dc758c7aa1d70d0028bb1.jpg
 
naelewa hilo sana ila hata bila infrastructure, Tanzania ni nchi yenye tourist attractions nyingi sana...hamufai kuwa mnapata tourists wachache kuliko Botswana, Zimbabwe etc...Kuna wakati hata mlikuwa mnapata watalii chini ya Uganda na Kenya kabla ya terror attacks toka kwa alshabaaab...can I ask why? :D:D:D:DBostwana kwanza hata haina wanyama ni nchi kavu tu...TZ has serengeti but it receves less than 2 mil tourists:D:D:D:Dndio maana huwa tunawadharau hapa JF...sio kwa bahati mbaya bro...ujamaa uliwamaliza kabisa...heri mngekuwa capitalists Tanzania ingekuwa mbali sana aisee...Nyerere was a great leader but he wasted you guys with that ujamaa mentality...a country with so many resources should not be an LDC...DRC also has alot of resources but it is LDC...but we can understand because it has had civil war for many years...
tanzania earns 2.4b usd from tourism sector na mpaka 2025 tutafkisha 16b usd kaa mkao wa kula:D:D
 
Back
Top Bottom