mombasa254
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 1,026
- 215
We...lakufa.wacha kujisumbua.nenda kamuulize mrwanda ama mganda...tz na Kenya. Ni gani kusemaSiku ile Kenya itaipita Tanzania kwakuwa na low rate of unemployment ndiyo nitajua Kenya inaendelea, ila kuwa na millionea wachache wakati millions ya wananchi wanaishi bila ajira na ukosefu wa chakula, bado Kenya itaendelea kuwa nyuma ya Tanzania kwa muda mrefu sana. Maendeleo lazima yapimwe kwa wingi wa watu wanaofaidika, sio watu wachache kama Kenya, mtaendelea kuwa na high rate of poverty, crime and hunger because of unequal distribution of your national resources.
Utapata jibu