Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunajua hata Bakhressa ni msukuma.

economy ya Tanzania imeshikiliwa na Omani Arab citizens who happened to have settled in tanganyika.....The Bakhresa and the chain of Arab families.....wachagga na sukuma kitu wanaweza fanya ni hawking na kuwa maids.....elimu pia hawana...lakini wanaweza sema.. "mungu uirinde Tanzania"......
 
Mungu ibariki Kenya
 
You Tanzanians watch & read a lot of news on Kenya so as to feel motivated that at least they're doing something. Wakati makampuni ya Tanzania yataanza kwenda international like our banks, sportpesa, supermarkets ndio watatoka LDC.
What makes Nairobi Africa's 'most intelligent' city - CNN
 
Siku ile bongo lala wata2chapa kwa.idadi ya millionaire. Ndajua wameipiku Kenya....lkn otherwise hao matubiri 2
 
Tanzania will never catch up with Kenya even in 100 years. Apart from Dar nothing happens in other towns. Arusha, Moshi, Mwanza ni maduka ya nguo na duka za kawaida tu. Google about Mombasa, Machakos, Nakuru, Eldoret, Kisumu, Thika, Kisii, Meru, Naivasha, Nyeri, Malindi ndio mtakubali Kenya is a powerhouse.
East Africa’s dollar millionaires 2016
  • Business Daily (Kenya)
  • 13 Nov 2017
getimage.aspx

KENYA HAS MORE DOLLAR MILLIONAIRES THAN UGANDA, TANZANIA AND RWANDA COMBINED
But there is still unemployment,poverty social crime due to unemployment what's the freaking hell are you talking nigga??
 
You Tanzanians watch & read a lot of news on Kenya so as to feel motivated that at least they're doing something. Wakati makampuni ya Tanzania yataanza kwenda international like our banks, sportpesa, supermarkets ndio watatoka LDC.
What makes Nairobi Africa's 'most intelligent' city - CNN
Endeleeni kulala niggas na story zenu za kujifariji sisi tunachanja mbuga Uhuru sio mtu mzuri kaona kisport pesa cha watu kinapata faida kakipandishia kodi Uhuru mungu anakuona
 
Kenya media does its work very well. Ukitazama news za Itv, star tv, tbc 1 utadhani watangazaji na reporters hawajaenda shule
7d4c512b9dac08ed73b5b33b8a067d79.jpg
2c4a6a1a5151ba343054cf375b44769c.jpg
[/QUOTE]

Vyombo vya habari kuripoti usalama wa barabarani Tanzania na hatua kuchukuliwa mara moja tofauti na cartels za matatu / mabasi ya kwenda shamba/uchagoo kufanya wapendavyo Kenya na Serikali kushindwa kufanya chochote
 
Siku ile bongo lala wata2chapa kwa.idadi ya millionaire. Ndajua wameipiku Kenya....lkn otherwise hao matubiri 2
Siku ile Kenya itaipita Tanzania kwakuwa na low rate of unemployment ndiyo nitajua Kenya inaendelea, ila kuwa na millionea wachache wakati millions ya wananchi wanaishi bila ajira na ukosefu wa chakula, bado Kenya itaendelea kuwa nyuma ya Tanzania kwa muda mrefu sana. Maendeleo lazima yapimwe kwa wingi wa watu wanaofaidika, sio watu wachache kama Kenya, mtaendelea kuwa na high rate of poverty, crime and hunger because of unequal distribution of your national resources.
 
Eti Tanzania imeipiku Kenya kwa nn....niambie.... Jamaa was wivu
 
Back
Top Bottom