stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,171
- 33,641
what else?Hakuna vile mtu anatoka iran aje achunge ngombe kijiji fulani Tanzania we unatubebaje? Hata hivyo tayari kuna controversies za nationality yake imejadikiwa hapa hapa tu jf na watanzania wenzako, nenda ukajisomee
View attachment 3647707View attachment 3647708![]()
Mwaka Jana mwezi Juni, Mchg. Mtikila alitoa tuhuma ambazo hazikupewa uzito unaostahili. Hata hivyo habari za hivi karibuni na uchunguzi huru uliofanyika unatupa sababu ya kuamini kuwa kuna kitu kuhusu maisha na uraia wa Rostam Aziz (Igunga - CCM) kinafichwa kwa makusudi au kwa kutegemea kuwa hakitaulizwa. Maelezo ya Mtikila aliyoyatoa mwaka jana ni haya yafuatayo aliyoyapa kichwa cha "Hatima ya Mwajemi Sakarir". Soma kijarida chako pia na ufanye uamuzi wako mwenyewe ni nini kinafichwa na kwa nini?
...
- Mzee Mwanakijiji
![]()
- Replies: 242
- Forum: Jukwaa la Siasa
He was born there because his parents had holidays there, however after kuzaliwa he went backThe owner of AVA was born in Kenya.
BTW mm all the time nlikua najuuaga AVA was some kenyan home made brand 😂 😂 😂The owner of AVA was born in Kenya.
Rostam Aziz is more than 4th generation of a migrant persian family! Wacha upumbavu! Anaongea mpaka kisukuma na kinyamwezi!Hakuna vile mtu anatoka iran aje achunge ngombe kijiji fulani Tanzania we unatubebaje? Hata hivyo tayari kuna controversies za nationality yake imejadikiwa hapa hapa tu jf na watanzania wenzako, nenda ukajisomee
View attachment 3647707View attachment 3647708![]()
Mwaka Jana mwezi Juni, Mchg. Mtikila alitoa tuhuma ambazo hazikupewa uzito unaostahili. Hata hivyo habari za hivi karibuni na uchunguzi huru uliofanyika unatupa sababu ya kuamini kuwa kuna kitu kuhusu maisha na uraia wa Rostam Aziz (Igunga - CCM) kinafichwa kwa makusudi au kwa kutegemea kuwa hakitaulizwa. Maelezo ya Mtikila aliyoyatoa mwaka jana ni haya yafuatayo aliyoyapa kichwa cha "Hatima ya Mwajemi Sakarir". Soma kijarida chako pia na ufanye uamuzi wako mwenyewe ni nini kinafichwa na kwa nini?
...
- Mzee Mwanakijiji
![]()
- Replies: 242
- Forum: Jukwaa la Siasa
Rostam Aziz is more than 4th generation of a migrant persian family! Wacha upumbavu! Anaongea mpaka kisukuma na kinyamwezi!
AVA is 100% owned by Simba Corp. Owner wa Simba Corp amezaliwa Kenya.😂 😂 😂 😂 ama kuna kenya ingine hatuijui, hakuna aliezaliwa kenya
Tena sio mambo ya kuzaliwa Kenya?🤣🤣😂😂He was born there because his parents had holidays there, however after kuzaliwa he went back
View attachment 3647731
Ulisema AVA sio kampuni ya Kenya Sababu owner was not born in Kenya. Sasa after kugundua mwenyewe alizaliwa Kenya tena unatuletea mambo ya global ties, akili yako iko Sawa kweli?🤣🤣😂BTW mm all the time nlikua najuuaga AVA was some kenyan home made brand 😂 😂 😂
View attachment 3647738
Marrying a Kenyan is an achievement to them.Didn't realize marrying Charlene ruto was a national achievement for Tanzania...that and beauty peagants. Congratulations TZ. You guys deserve it for your achievement of marriage to presidents daughter. I'm so jealous.
Hakuna vile mtu anatoka iran aje achunge ngombe kijiji fulani Tanzania we unatubebaje? Hata hivyo tayari kuna controversies za nationality yake imejadikiwa hapa hapa tu jf na watanzania wenzako, nenda ukajisomee
View attachment 3647707View attachment 3647708![]()
Mwaka Jana mwezi Juni, Mchg. Mtikila alitoa tuhuma ambazo hazikupewa uzito unaostahili. Hata hivyo habari za hivi karibuni na uchunguzi huru uliofanyika unatupa sababu ya kuamini kuwa kuna kitu kuhusu maisha na uraia wa Rostam Aziz (Igunga - CCM) kinafichwa kwa makusudi au kwa kutegemea kuwa hakitaulizwa. Maelezo ya Mtikila aliyoyatoa mwaka jana ni haya yafuatayo aliyoyapa kichwa cha "Hatima ya Mwajemi Sakarir". Soma kijarida chako pia na ufanye uamuzi wako mwenyewe ni nini kinafichwa na kwa nini?
...
- Mzee Mwanakijiji
![]()
- Replies: 242
- Forum: Jukwaa la Siasa
Nobody is gonna build Refinery next to Dangotekwan kuna mtu kabisha? The thing is ours will not depend on existence of Dangote refinery at Lamu! It is Dangote that asked to be alone in the market! So lets say there will also be another refinery at Tanga!