Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

eti Teargass mbna zile picha za juu na uhalisia ni tafauti 😂 nashindwa kuelewa
1786386195537.png


1786386208057.png
 
Point of correction..

Kwa case ya Rostam, amezaliwa Usukumani, na kachunga Ng'ombe tu huko na wenzie wasukuma kabla ya kuanza shule... Na hata kipindi Cha likizo. So, sio kwamba amejifunza kuongea Kisukuma..
Ila ndio maisha yake kama Msukuma.

Sasa tengeneza swali lako kupitia muktadha huo .
Just go back to liking dumb posts AMARII.
 
Back
Top Bottom