IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 7,750
- 10,282
Hakuna vile mtu anatoka iran aje achunge ngombe kijiji fulani Tanzania we unatubebaje? Hata hivyo tayari kuna controversies za nationality yake imejadikiwa hapa hapa tu jf na watanzania wenzako, nenda ukajisomeePoint of correction..
Kwa case ya Rostam, amezaliwa Usukumani, na kachunga Ng'ombe tu huko na wenzie wasukuma kabla ya kuanza shule... Na hata kipindi Cha likizo. So, sio kwamba amejifunza kuongea Kisukuma..
Ila ndio maisha yake kama Msukuma.
Sasa tengeneza swali lako kupitia muktadha huo .
Mwaka Jana mwezi Juni, Mchg. Mtikila alitoa tuhuma ambazo hazikupewa uzito unaostahili. Hata hivyo habari za hivi karibuni na uchunguzi huru uliofanyika unatupa sababu ya kuamini kuwa kuna kitu kuhusu maisha na uraia wa Rostam Aziz (Igunga - CCM) kinafichwa kwa makusudi au kwa kutegemea kuwa hakitaulizwa. Maelezo ya Mtikila aliyoyatoa mwaka jana ni haya yafuatayo aliyoyapa kichwa cha "Hatima ya Mwajemi Sakarir". Soma kijarida chako pia na ufanye uamuzi wako mwenyewe ni nini kinafichwa na kwa nini?
...
- Mzee Mwanakijiji
- Replies: 242
- Forum: Jukwaa la Siasa