Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

What's your level of education?😂😂🤣

Umesema Dangote atakuwa anauza mafuta south Sudan kwa kutumia meli?😂🤣🤣
Kwani plan ya Dangote ni kuleta mafuta mpaka Lamu kwaajili ya S.Sudan kwa kutumia usafiri gani?
 
Kwani plan ya Dangote ni kuleta mafuta mpaka Lamu kwaajili ya S.Sudan kwa kutumia usafiri gani?
So atakuwa anapeleka Mafuta South Sudan kwa kutumia meli? Kweli watanzania wote no wajinga 😂😂🤣
 
Indeed lilikua shamba ya kuchungia ng’ombe, the place is called Kawe (cow way) niliposimama ni karibu na kilipokua kiwanda cha nyama (Tanganyika packers). N now we are turning the place in to a knew center of business .. pata drone view yake 👇🏾View attachment 3645255View attachment 3645256kaskazini mwa kawe ni Mbezi beach na kusini ni Mikocheni..
Nani amekuuliza hayo maelezo unatuambia?😂😂🤣
 
Do you understand what non-binding agreement is?🤣🤣😂🤣.

Hiyo MoU mlisign Jana was non binding and it didn't include building a refinery in Tanga😂😂🤣
Maku east africa ernegy hub ni tanga,utaumia lakini hali halisi ndio hiyo,$20 bilioni inakuja tanga,refinery inajengwa tanga maku,au kwa akili yako kisoda $20 bilioni itajenga refinery hoima halafu hiyo hiyo itafanya tanga kuwa east africa ernegy hub,mou iliyosainiwa jana inaihusu tanga maku ww
 
Indeed lilikua shamba ya kuchungia ng’ombe, the place is called Kawe (cow way) niliposimama ni karibu na kilipokua kiwanda cha nyama (Tanganyika packers). N now we are turning the place in to a knew center of business .. pata drone view yake 👇🏾View attachment 3645255View attachment 3645256kaskazini mwa kawe ni Mbezi beach na kusini ni Mikocheni..
🛑🛑🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣… didn’t you get the latest CCM attack memo about apartments?
 
Tunasubiri uongo mwingine. Soon tutajua mbivu na mbichi.
Mradi hauna financial details wala tendering yoyote haikufanyika, lakini mnaambiwa mradi umeanza, duh.

It is very easy to govern Kenya because people are not inquisitive enough; they fall behind their tribal lines depending on where the leader hails from.
Inakaa hawakutenga budget ya kujenga SGR! sasa kinachobaki ni kupiga mradi Teke kwenda mbele!
 
Reminds me wakati anamuuliza kwann unatangaza refinery na hujasema kumbe alikua tayar na plans zake za mda mrefu
Ruto alitangaza refinery Tanga inaelekea alipata intelligence kuwa Tz ina mpango wa kujenga energy hub in Tanga sasa akaja na mpango wa ku derail hiyo deal. Maana it is strange raisi wa nchi nyingine atangaze mradi kwenye nchi nyingine bila counterpart wake kujua na sitaki kukubali kuwa Kenya hamna watu wa protocol to guide the President.
 
Maisha hutapata progress kama hii toka kwao. It has been more than a decade now, in fact 13 years now; hadithi ndio hizo hizo tuu wamekalia politiki tuu tangu asubuhi kazi hawafanyi.
na walileta exkaveta sku ya uzinduzi kumbe za kuzuga 🤣
 
Ruto alitangaza refinery Tanga inaelekea alipata intelligence kuwa Tz ina mpango wa kujenga energy hub in Tanga sasa akaja na mpango wa ku derail hiyo deal. Maana it is strange raisi wa nchi nyingine atangaze mradi kwenye nchi nyingine bila counterpart wake kujua na sitaki kukubali kuwa Kenya hamna watu wa protocol to guide the President.
alitangaza ivo ili aende world bank wampe mkopo si unajua tena mzee wa kulalamika
 
EACOP is controlled by total. Nyinyi ni joyriders Tu. If total didn't see the need to build a refinery there, mbadhani walikuwa wajinga?🤣🤣😂.

EACOP will export all the oil to refine somewhere then resell the refined oil back to you🤣😂
Tz has ownership in EACOP kama hujui. Siku nyingine uache kuropoka hovyo.
 
middle east is all blocked, where else will you get oil from
So you think the war will go beyond Trump’s term?…by the time President Trump is out of office , the refinery will still be under construction… So stop hyperbole propaganda…😆
 
Back
Top Bottom