Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo unabidi ulie, mafuta ghafi ya UG tunayo sisi, halafu tutayasifisha then tunauza duniani na kurudisha UG yakiwa refined. Nyie nyang’au sijui mtamuuzia nani hayo mafuta ya Aliko 😂😂 South Sudan au.?
Aren't Uganda building a refinery as well? Mnataka kuwauzia mafuta wafanye nayo nini?😂😂🤣
 
Yaani kwa kifupi aliko Dangote kajitia kidole cha matako kuja kuwekeza karibu na sisi. 😂😂😂😂😂

Imagine itambidi anunue na kusafirisha mafuta ghafi kutoka sijui wapi huko atakapoyapata then asafishie Kenya, halafu ayauze South Sudan (soko lake la karibu) tena atayauza kwa kutumia kuyasafirisha kwa meli 😂😂😂 imagine the cost of doing the whole process.

Halafu atakutana nasisi ambae ndio competitors wake, mafuta ghafi tunayo hapa hapa nchini, viwanda vya kusafishia tunavyo, mabomba kwaajili ya kusairisha mafuta nchi zingine tunayo eg, TAZAMA na hiyo ya UG tutakayojenga + kusafirisha kwa meli nchi zingine.

Kwakifu Dangote kapanda mtumbwi wa vibwengo. 😂😂😂😂
 
Imagine itambidi anunue na kusafirisha mafuta ghafi kutoka sijui wapi huko atakapoyapata then asafishie Kenya, halafu ayauze South Sudan (soko lake la karibu) tena atayauza kwa kutumia kuyasafirisha kwa meli 😂😂😂
What's your level of education?😂😂🤣

Umesema Dangote atakuwa anauza mafuta south Sudan kwa kutumia meli?😂🤣🤣
 
Yaani kwa kifupi aliko Dangote kajitia kidole cha matako kuja kuwekeza karibu na sisi. 😂😂😂😂😂

Imagine itambidi anunue na kusafirisha mafuta ghafi kutoka sijui wapi huko atakapoyapata then asafishie Kenya, halafu ayauze South Sudan (soko lake la karibu) tena atayauza kwa kutumia kuyasafirisha kwa meli 😂😂😂 imagine the cost of doing the whole process.

Halafu atakutana nasisi ambae ndio competitors wake, mafuta ghafi tunayo hapa hapa nchini, viwanda vya kusafishia tunavyo, mabomba kwaajili ya kusairisha mafuta nchi zingine tunayo eg, TAZAMA na hiyo ya UG tutakayojenga + kusafirisha kwa meli nchi zingine.

Kwakifu Dangote kapanda mtumbwi wa vibwengo. 😂😂😂😂
Yani MoU ndio unaandikia paragraph kubwa hivi?😂😂🤣🤣
 
I have already posted a 4 day update in previous page. Umekubaliwa kuangalia tena. Anyway MoU is not a formal contract, it's just idea that can die anytime😂😂🤣
you just posted people raising hands, umeambiwa post progress
 
Back
Top Bottom