Yaani kwa kifupi aliko Dangote kajitia kidole cha matako kuja kuwekeza karibu na sisi. πππππ
Imagine itambidi anunue na kusafirisha mafuta ghafi kutoka sijui wapi huko atakapoyapata then asafishie Kenya, halafu ayauze South Sudan (soko lake la karibu) tena atayauza kwa kutumia kuyasafirisha kwa meli πππ imagine the cost of doing the whole process.
Halafu atakutana nasisi ambae ndio competitors wake, mafuta ghafi tunayo hapa hapa nchini, viwanda vya kusafishia tunavyo, mabomba kwaajili ya kusairisha mafuta nchi zingine tunayo eg, TAZAMA na hiyo ya UG tutakayojenga + kusafirisha kwa meli nchi zingine.
Kwakifu Dangote kapanda mtumbwi wa vibwengo. ππππ