stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,195
- 33,641
SAMIA 2 RUTO 0Hii habari ya Tanga imemuuma sana Teargass pole kaka, zoea Tanzania 🇹🇿. Sisi kuwapiga gap kubwa nyinyi ilikua ni suala la muda tu, endeleeni kuwekeza apartments Nairobi, mkija mkistuka sisi tameshikilia uchumi wote wa Africa. Sisi ni China ya EA bro.