Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,647
- 34,271
Your target customer is going west😂😂Kwanza anajua hata target market ya hiyo Angola ?
Export nyingi zinaenda Asia na hata imports nyingi kutoka afrika zinaenda Asia.
Hivi anajua mpaka sasa pamoja na kuwa Zambia imepakana na Angola ila hakuna hata barabara ya kuwaunganisha sembuse hiyo reli, Zambia bado atasafirisha sana mizigo kwenda Asia kupitia Tanzania.
View: https://x.com/i/status/2073062733054910938