kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 5,264
- 5,409
You think Kenya's SGR will be the first railway to be electrified after already being built.Bado sana huo uwezo hamna , mngekuwa mna electrify basi msingerudi kwenye design ya mwanzo kabisa kwenye ujenzi wa kutoka naivasha to malaba.
Mta electrify bila kuwa jointed welded railway line , bado mtadaowa signaling system mpya , mahitaji kudesign horizontal curves atleast zifikie kwenye 1900mm kutoka kwenye 1200m mlizonazo .
Yaan cost ya hivyo vyote ili mfike atleast speed ya tz si less than 5bil usd kutoka Mombasa to naivasha na hiyo hela hamna
injinia from Tandale sit this one out. 😂