Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sio lazima uwe nazo zote na ni wewe ndio umeleta screenshot inayotaja hizo vitu kama vigezo vya training ground? Mbona unalamba matapishi yako Nyamwezi?
acha kua fala nimekwambia sio lazima iwe na vyote, however what you call stadiums in modern leagues kama ya tanzania znaitwa cowsheds, the same way mnaisifia nyayo in AFCON thats a training ground, you know kenya always has low quality stuffs thats, the same way CHAN ndo world cup ya wakenya
 
Rudi shule kapeleleze ni nchi gani ambayo inaendesha railway line ambayo Ina handle both cargo and passenger trains inayoweza cruise above 160km/hr ikiwa na track moja.
Kuna standards za kimataifa.
Arema standards hairuhusu class 5 railway line ikiwa na single track kuwa passenger trains ambazo Zina cruise above 160km/hr.
Kuhusu double stacking.
Kwanini tuwe na double stacking wakati line inaruhusu single train kuvuta behewa kwa urefu wa 2000m or km versus the Kenyan sgr with maximum train length of 880m na maximum axle load of 25tone while tz has 35tones.
Ina maana a single Tanzania train can haul a maximum of 100 wagons or 200 , 40ft containers versus kenya sgr which can haul a maximum of 44 wagons or 88 containers , mkibeba double stack containers huwa ni empty containers na hakuna siku mmebeba containers zikiwa na mizigo kutoka Mombasa kwenda hinterland.
Ukitaka comparison ya mizigo comparison ya mizigo Anza kuhesabu kuanzia July this year ambapo ndo cargo section na transhipment imeanza kufanyika not otherwise.
Caretaker leta video ya hio slow speed electric sgr yenu ikivuta wagons. Najua ata kufikisha wagons kumi ni balaa 😂😂

Tafuta WiFi uhesabu hizi.


View: https://web.facebook.com/watch/?v=432908690571653


View: https://www.tiktok.com/@mohamedsalim786/video/7491377657033002245
 
At least they're towns. Not designed like a rural Florida elderly dementia patient village surrounded by high walls. 😂
1784755181052.png



View: https://www.youtube.com/shorts/xkhEba2atcY?feature=share
 
At least they're towns. Not designed like a rural Florida elderly dementia patient village surrounded by high walls. 😂
BTW treni yako ina mteja mmoja 😂 😂 na huyo mteja wako mmoja ameenda kusaini tanzania 😂😂 instead of being worried about your important client your worried about DRC ambae anapelekewa reli mpaka mlangon 😂

1784755553679.png
 
Hebu leta hiyo city tuione. 😂😂😂 kuna kitu nataka nikuonyeshe.
The only walls you'll find in Tatu City are in the well-designed industrial and residential zones.

Actually, watching this video, I've realized the Dodoma you're building looks like the ugly brother of Tatu City Industrial zone. 😂😂
The ugly buildings complement the ugly planning. You should send a delegation to Tatu 😂


View: https://www.youtube.com/watch?v=eyYxxaIc8NI
 
Hiyo tatu city anayokupigia nayo kelele ni hii apo 👇🏾 the whole of it. 😂😂😂.. hii si ni any random street in Dodoma , kama tutalinganisha View attachment 3635099
This is Kijani Ridge in Tatu City.
For your hollow brain, it's a residential suburb in Tatu City.
The same way Nairobi has Karen, Langata etc.
 
The only walls you'll find in Tatu City are in the well-designed industrial and residential zones.

Actually, watching this video, I've realized the Dodoma you're building looks like the ugly brother of Tatu City Industrial zone. 😂😂
The ugly buildings complement the ugly planning. You should send a delegation to Tatu 😂


View: https://www.youtube.com/watch?v=eyYxxaIc8NI

Wala hata usijusumbue kupost viji clip in some sections.. the whole of it in a single shot 👇🏾😂😂
IMG_8095.jpeg
just to let you know, hii ni random street in Dodoma city.. 😂😂😂 the likes of Ilazo, kisasa or elsewhere.
 
This is Kijani Ridge in Tatu City.
For your hollow brain, it's a residential suburb in Tatu City.
The same way Nairobi has Karen, Langata etc.
Unapakataa.? 😂😂😂 wenzako wanakushangaa. post hiyo Tatu city CBD kama unayo 😂😂😂. Tatu city is a residential area and some sheds for manufacturing.. hakuna kingine kando ya hapo au labda uje na renda. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom