Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tutaelectrify yetu na mpango.
1. Haitakuwa slow speed electric train.
2. Itakuwa na enough overhead clearance for double stacking.

View attachment 3634991
bado hamjifunzi tu
1784753487920.png


1784753497908.png


View: https://www.youtube.com/shorts/xkhEba2atcY?feature=share

mwaiofhawaii Nicxie Teargass
 
Hivi kwanini huwa hawana utaratibu wa kutumia Google kujielimisha zaidi ya kutumia uongo kutetea nchi yao?
Au wanafahamu ukweli ila ndo wanakaza fuvu! 😂😂😂
Ukweli wanaujua ila kwao kusema uongo ni kwa ajiri ya sifa na kutetea uongo.
Kenya ndo nchi pekee ambayo raia wake waliwasnitch waafrika wenzao kwa sababu ya maslahi ukianzia south Africa , Mozambique to angola
 
Are you building a CBD or a suburb?
Bongolala government urban planners are a funny lot.
Even after building everywhere, this will just be a loose collection of buildings, and not a CBD.

Makosa ya kwanza ilikuwa kuweka hizo front parking lots, and recessing the buildings backwards.
Makosa ya pili. WALLS.

Buildings need to be on street level. Like Nairobi CBD, or what we're building in Tatu and Konza.
Parking should be underground.

Konza

View attachment 3635042
Tatu and Konza are ghost towns
 
Buda huo uwezo haupo , badala ya maneno matupu wekeni umeme tuone kama bila marekebisho mengine mtaweza cruise kwa hiyo spidi
Kwa hivyo injinia unataka kusema it will cost more to add a bunch of overhead wires and weld a few joints, than to build the entire railway? 😂
Wewe caretaker kuna mambo above your paygrade.

sgr.JPG
 
do 2 things
1) Lipia AI
2) Achana na mambo ya mpira kabisa yaani kaa nayo mbali, na mkiendelea soon uwanja mtajenga kwa $2B

and a bonus make sure you read to understand
View attachment 3635037
Sasa nionyeshe dressing rooms kwenye hiyo training ground ya Arusha.

Nionyeshe pia support facilities; showers, secure fencing, and ambulance access ndani ya hiyo training ground yenu
 
Back
Top Bottom