babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,425
- 36,035
Wanavyosemaga Watanzania huangalia Simba na Yanga tu kwani hizi sio timu za mpira. 😂😂😂Usikimbie swali onesha any Kenya match basi Mimi nakuewekea hata za clubs zenu plus national team versus taifa stars , leta match mliyowahi pata collection ya atleast 10mil ksh🤣🤣🤣🤣