Street Hawker
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 665
- 1,090
Nmeshangaa sn alooAre these seats used ama ni vipi mbona zimechoka kabla havijakaliwa? Na floor imeanza kupauka kabla haija kanyangwa
Nmeshangaa sn alooAre these seats used ama ni vipi mbona zimechoka kabla havijakaliwa? Na floor imeanza kupauka kabla haija kanyangwa
So wewe unajua zaidi kuliko Dangote, when did you do your research to conclude that hiyo refinery yake haitakuwa na soko?
By the way the first customer of that refinery will be Tanzania. Bookmark this😂😂
Huu uwanja hapana kwakweli, wamelipua sn, ni kama hawajapewa hela😀😀😀😀😀😀😀
You guys are really stupid!Asanteni sana coodip1 na Geza Ulole for the Hoima to Tanga pipeline.
You have done most of the donkey work for Dangote and Kenya.
If Uganda wants to sell their oil to Dangote, it will be quite cheap for us to extend the pipeline from Tanga to Lamu. About 400km.
View attachment 3626075
Hivi ndio waga ccm inawapumbaza?
Kuna mchezo unachezwa hapa sijui itakaaje kwenye walio jikoni watujuze za chini ya kapeti.
View: https://web.facebook.com/share/p/192mv26Tvw/
Kwa ndoto?😂😂🤣
LDC mtalia na kukohoa mpaka damu.Wewe lofa kweli...
Yani atumie zaidi ya nusu ya utajiri wake kwenye refinery ya kunyaland ambayo haina uhakika wa soko!?
😂 😂 😂 Na unaongea kabisa ukiwa serious kama unaelewa kinachoendelea 😂 lets simplify it for youLDC mtalia na kukohoa mpaka damu.
Dangote is moving serious cash. Mtahangaika sana kama Forbes value ndio mnatumia kupima. Kwanza, it's very inaccurate.
Pili, Dangote's Forbes wealth is individual wealth. Kampuni zake ambazo anacontrol, he doesn't own 100%.
So, bongolala ujamaa curriculum, unapima uwezo wa Dangote ltd, sio Dangote the person.
Dangote Cement made $233 million in just 3 months this year - From January to March 2026.
$20 billion in 5 years is just $4 billion a year.
Hio pekee imelipiwa na Dangote Cement na Dangote Sugar.
itakua wamempunja contractor sjawahi kuona uwanja umepunyuliwa zaidi ya huu 😂 😂Huu uwanja hapana kwakweli, wamelipua sn, ni kama hawajapewa hela😀😀😀😀😀😀😀
Ndio nakuambia mtanunua Kenya Mpende msipende😂😂🤣.Hapa unaleta ubishi tu na ukora.. Tanzania Ina uhuru wa kununua mafuta popote tu ili mradi Kuna Bei nzuri... Hatutafungwa na mkataba wa mtu yoyote.
Kwa ndoto?😂😂🤣Tanzania is going to have its own refinery.
Promixicity? Duh....Promixicity dictates it.
au sio mwanaetu 😂😂Ndio nakuambia mtanunua Kenya Mpende msipende😂😂🤣.
Promixicity dictates it.
Within 5-10 years, Eastleigh if well take care of, will be economically bigger than Dar CBD. (It's currently second biggest if it were in TZ by Dar vumbi metrics).
All we need is a strong leader and the day that area is cleaned up, Dar vumbi will see more dust.
View: https://x.com/klikklak1392/status/2075183948754215125
Vitu za hivi wataishia kuviona kwenye picha tu. 😂😂😂.au sio mwanaetu 😂😂
View attachment 3626577