stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,362
- 39,574
🔨🔨🔨Watanzania ama warabu?
🔨🔨🔨
Kiswahili mnajifanya hamuelewi soma kizungu uelewe hapa 👇 👇
View: https://www.instagram.com/p/Danq7POlbl-/?igsh=MW53Zzh3eTU0MzMwOA==
Tanzania inamiliki Uchumi wa Kundustan,lazima waelewe tuu 👇👇wanaelewa ila hali yao sasa ni mbaya watawekeza nn
Tanzania inamiliki Uchumi wa Kundustan,lazima waelewe tuu 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/Danln3jEimm/?igsh=MXYya2I2ejlnejRoeA==
Are these seats used ama ni vipi mbona zimechoka kabla havijakaliwa? Na floor imeanza kupauka kabla haija kanyangwa
hapo hakuna ata mechi moja imechezeka 😂 😂Are these seats used ama ni vipi mbona zimechoka kabla havijakaliwa? Na floor imeanza kupauka kabla haija kanyangwa
So when the construction begins this year , whatchu gonna do . Call it AI ???.. 🤣🤣🤣
Kwani ulitaka capital seed itolewe within days? Site enyewe hata bado haijaonyeshwa lakini wewe ushaanza kushikwa na baridi tayari.Hakuna refinery kunyaland.... Ndio maana hata capital seed ambayo serikali yenu ulisema itatoa hadi Sasa bado..
Plan yenu ni gani?🤣🤣😂Na hapo bado uhakika wa soko la mafuta bado halijapatikana maana nchi nyingine za EA Zina plan zao binafsi.
Hivo ndio Dangote amekuambia?😂😂🤣Na ndio maana financing ya hiyo refinery bado ni utata
si wanajikuta wanajua siasa kuliko kula, kwanza nyangau mkenya na NairobiWalker na nairobae wameleta picha za filta apa weeee tunawachora mwishowe picha za kufukua uwanja wanazileta wao wenyeweYani wameshaanza na message za pre election uncertainities kabla ya AFCON!!!!!!!!!!!!!!! Kagame andaa uwanja fasta.
Mbona asitumie na kampuni ni yake? 🤣🤣😂Hawezi kutumia pesa yake mwenyewe kujenga.