IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 7,663
- 10,113
Lia polepole. Pole basi 😆MY TAKE
sequential is what Magufuli from Usukumani couldn't grasp! u build a port first then railway or both parallel! Upumbavu wa watu wanatetea JPm humu ndani! Wakati kakataa $11 bln project Ukunduni wameenda ku-lobby na kusaini mikataba ya kipumbavu il ku-frustrate chances of Tanzania! Hii maneno isingekuwepo leo kama angetumia hekima na ku-negotiate na Wachina wa Bagamoy port!