stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,104
- 39,223
actually waliomba bomba juzi ruto alivokuja, najua wamekubali tu hadharani ila kihalisia tushasema hatuuzi gesi kokote wafuate mozambique kwa ships 😂😂 na hatutaki kuona bomba lolote la gesi nchini kwetu 😂Vitu za hivi wataishia kuviona kwenye picha tu. 😂😂😂.