Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,637
- 34,256
Mbona asitumie na kampuni ni yake? 🤣🤣😂Hawezi kutumia pesa yake mwenyewe kujenga.
Mbona asitumie na kampuni ni yake? 🤣🤣😂Hawezi kutumia pesa yake mwenyewe kujenga.
Ushaijenga refinery kama hiyo ya Dangote before? Ama kuna yenye mshaijenga Tanzania before?😂otherwise itachukua hata 20 yrs ndio amalize project hiyo.
Na ni chawa alafu muongo muongo sn.Usisahau huyu ni mwanasiasa.
Si analipa madeni ya mwanzo ulitaka pesa atoe wap?Mbona asitumie na kampuni ni yake? 🤣🤣😂
🔨🔨🔨
Kiswahili mnajifanya hamuelewi soma kizungu uelewe hapa 👇 👇
View: https://www.instagram.com/p/Danq7POlbl-/?igsh=MW53Zzh3eTU0MzMwOA==
kwan dangote amekwambia anayo hio pesa tayar 😂Hivo ndio Dangote amekuambia?😂😂🤣
Hahahahaaaa duuhh hapa wakenya ruhusa kulia alooo, hii ndiyo hybrid?🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Kwani Watanzania Wana rangi gani?Mbona nisome yet kuna picha ya mwarabu hapo?
sio hybrid tu 😂 😂 inaitwa Synthetic fiber grassHahahahaaaa duuhh hapa wakenya ruhusa kulia alooo, hii ndiyo hybrid?🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Mbona asitumie na kampuni ni yake? 🤣🤣😂
So wewe unajua zaidi kuliko Dangote, when did you do your research to conclude that hiyo refinery yake haitakuwa na soko?Wewe lofa kweli...
Yani atumie zaidi ya nusu ya utajiri wake kwenye refinery ya kunyaland ambayo haina uhakika wa soko!?
Ndo mana nmecheka, yn very low quality aisee, Africa bhn 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Nmeshangaa sn alooAre these seats used ama ni vipi mbona zimechoka kabla havijakaliwa? Na floor imeanza kupauka kabla haija kanyangwa