mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 6,083
- 6,502
A broken clock is always right twice …you surprised me there …I want what you are drinking 🤣🤣🤣🤣hizi fitna kaka hazina maana tufanye biashara tuache kuoneana vijiba!
A broken clock is always right twice …you surprised me there …I want what you are drinking 🤣🤣🤣🤣hizi fitna kaka hazina maana tufanye biashara tuache kuoneana vijiba!
Ujenzi WA SGR Yao imeanza last year, so ni mwaka WA Kwanza.Mwaka wa ngapi huu iko heading towards to kundustan 🤣🤣
Kuna mchezo unachezwa hapa sijui itakaaje kwenye walio jikoni watujuze za chini ya kapeti.
View: https://web.facebook.com/share/p/192mv26Tvw/
Hivo ndio aliwadanganya ati mazishi ya Magufuli ilitazamwa na watu 3 billion 🤣🤣😂Hivi ndio waga ccm inawapumbaza?
Any fool can make a plan and dream of projects … but there is only one concept to reach to a conclusion…” Follow the Money”…. Kenya has mastered it. Na sitatoboa Siri … 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwani Museveni anapanga kuwagawia nchi?😂😂🤣
How can a project being done in Uganda end up with 60% in Tanzania? And the last time I checked their SGR was heading towards Kenya and not Tanzania 🤣🤣😂
Wewe ni hopeless kabisa ili Dangote ajenge refinery EA alisema explicitly kuwa anataka full government commitment from both Kenya, Uganda and Tanzania. Hapo kwenye commitment sioni iki materialize maana Uganda anajenga refinery yake ambayo TZ imenunua 20% share tayari na pia Tanzania in plan refinery yake Tanga sasa hayo masharti ya Dangote sijui yatatekelezwa vipi.We are not interested in either of you. Uzuri you will both buy petroleum products from Lamu😂😂
Ilikuwa kwa YouTube au Tandale Tv ?… 🤣🤣🤣🤣🤣Hiyo ndio aliwadanganya ati mazishi ya Magufuli ilitazamwa na watu 3 billion 🤣🤣😂
Wanao mradi na Somalia conduit ya miraaHamna cha bait diplomacy,hamna nchi ukanda huu atakubali ajoint project yoyote na nyie,sgr ya mu7 60% inakuja TZ,tayari tuna tazama pipeline na zambia,EACOP na uganda,sgr na rwanda,burundi na congo,nitajie mradi wowote mlio nao na nchi nyingine
Wewe ni hopeless kabisa ili Dangote ajenge refinery EA alisema explicitly kuwa anataka full government commitment from both Kenya, Uganda and Tanzania.
So you are saying Tanzania went to her TB medical coffers , took out a bunch of boxes and donated them to Kenya for free … same way you give us “ food for free”… you are talking of that Tanzania or another one ?… 🤣🤣🤣
They believed the guy to a point they came bragging here how Magufuli was loved all over the world😂😂Ilikuwa kwa YouTube au Tandale Tv ?… 🤣🤣🤣🤣🤣
Tunaenda kuwa mabosi wa Wakunya
View: https://www.instagram.com/p/DanSLXQqaGK/?igsh=MTJxcXVjN2liY2lxbg==
Cha msingi Watanzania wanaendelea kuimiliki Kendustan 😂😂Kwani mwarabu alikuadopt na hatujui?🤣🤣😂