Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hio picha ya chini ni kweli au AI

I don't know lakini unaweza kuta haya ndio majani standard kwa sasa hivi ila wenzetu wanaona kama kitu cha kipekee sana.
Jamaa ni washamba,dunia ya leo wamekaa wakiamini kabisa kitu kinachofanyika kwao hakiwezi kufanyika kwingine,hizi project zote ziko chini ya mchina,jamaa elimu yao ina shida sehemu ni vile tu wamewin kuconvince watu elimu iko poa,in contrary ni empty head,ukikaa nao ndio utawajua
 
1. Talanta has exterior media facade (that's a fact). Samia doesn't

2. Talanta has a computerized hydraulic cable roof-lifting system ( that's a fact). Samia doesn't and no other stadium in Africa does.

3. Talanta has 52 luxury skyboxes ( that's a fact). Samia doesn't

4. Talanta has a hybrid pitch (that's a fact). Samia doesn't.

5. Talanta has LED ribbons across the stadium tiers ( another fact). Samia doesn't.

6. Talanta has integrated green energy solutions (that's a fact). Samia doesn't.

7. Talanta provides viewing intimacy ( that's another fact). Samia doesn't

Now tell us ni zipi hizo ziko kwenye makaratasi, ukishamaliza utuambie pia the modernity aspects za Samia
 
Skyboxes za Arusha zinaona uwanja wote unlike hizo za Talanta
 
Ukiweka car charger mpya, ukafunga mziki mkali, akavesha seat covers za leather mpya kalii ndani ya probox, havibadilishi aina ya gari mzee, inaendelea kuwa ni probox ile ile tu. 😂😂😂
So unataka kumaanisha, probox ukitoa body yake, u modify it uweke ya range Rover Sasa yafaa iitwe modern ,,???CCM mindset 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…