Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Dodoma is Transforming to the Modern city fast than people think,
Miaka 10 Ijayo Dodoma itakuwa ni level zingine kabisa Ukanda huu wa Africa Mashariki
 
Hiki ni nn 👇👇View attachment 3625622
Na kama ni hivyo, mbn wajenge uwanja mpya na kuachana na OT, c wangeu renovate waweke facilities mpya uwe wa kisasa? Ww pia usini quote kwenye issue ya stadium uelewa wako kama yule mwenzio.
Structural haimanishi exterior cladding of the building pekee. Elimu yako imefika wapi lakini? Cause it seems you are not educated at all.
 
Arusha city
IMG_7187.png
 
Modernity is not measured by outer design. Modernity is measured by features inside a stadium. Tell me anything modern about samia stadium ambayo haiko Talanta stadium. Mimi naweza kukutajia vitu vingi ndani ya Talanta ambazo hazipo Samia

You just built an oversized roof mnaita stadium. There's nothing morden about an oversized roof View attachment 3625488
Wewe ni mshamba tu wa kisii!
So according to your cave mentality this is an oversized roof by mistake and oversized window/door glasses?
images (26).jpeg
 
Yes it is modern in every aspect. Right from the most important part of a football stadium- the playing surface. Wakati nyinyi mmepanda natural grass, Talanta has a hybrid system. Which one is modern between the two?
talanta haina hybrid grass, seeds were used through out and infact it has even been replanted again
 
Dodoma is Transforming to the Modern city fast than people think,
Miaka 10 Ijayo Dodoma itakuwa ni level zingine kabisa Ukanda huu wa Africa Mashariki

View: https://www.youtube.com/watch?v=NudJXVatue4&t=81s&pp=ygULZG9kb21hIHRyYW0%3D
 

View: https://x.com/ChineseEmbTZ/status/2075128857246462057

MY TAKE
I'll keep telling people Magufuli's decision to stop $11 bln Lamu port construction will haunt us for so many years to come! Nashindwa kuelewa kwann alishindwa ku-negotiate? Katiba yetu ina matatizo inatengeneza imperial president!

mambo ya mikataba ni siri and you can never judge it because of your view, example SGR kenya is 100% owned by chineese, kq ndo usiseme BTW we are socialists, everyone anatakiwa kufaidika
 
Back
Top Bottom