nyangau mkenya
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,710
- 3,244
hypocrisy yenu hua funny,Ukiwa hater sana na uwezo wa kufikiri na kuchanganua mambo unapotea. Au akaunti yake anatumia mtu mwingine Sasa hivi? Yana hata ng'ombe za north Zina afadhali...
Ati anasema hizo scania zitakuja kumtoa Mchina kwenye upande wa Mabasi!... 😂
Nchi inapigwa mnada tu kila siku.
View attachment 3695443
Investment ikiwa Kenya ni maberuberu na kupigwa,
Ikiwa Tanzania ni maendeleo na uchumi Bora
Mnaona nani ni mjinga haoni propaganda yenu, ata upikaji inahitaji akili kidogo.
is this the collective IQ of ccm bots?