Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,424
- 33,850
So you want us to use your understanding of modernity to discuss on Stadiums? First of all hujui hata modernity ni nini.Nyinyi wakenya jaribuni kuwa na uwezo wa kufikiri hata kidogo jamani, Allianz Arena imejengwa mwaka 2005, na umekuwa most modern kwa muda mrefu, tunapoongelea modernity tunaongelea ubunifu, now viwanja vya kisasa havijengwi kwa design ile tena.