Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu washaachana na maviwanja ya hv kaka, sijakashifu ila huo ndiyo ukweli, hz design za kizamani kwa sasa.
wakenya na mpira wap wap mzee 😂😂 wakenya wengi hawajawahi hata kupanda ndege, thats the only thing they know as a stadium, infact kuna mwingine jana alikua anatuelezea kuhusu CHAN tumekaa tunamwangalia tutunacheka mwaiofhawaii
 
Angalia viwanja vya marekani utaelewa kwamba Arusha ni the best than this, hv viwanja vimeshapitwa na wakati bro, siku hz viwanja vinatengenezwa unaweza kusema ni bank.
sio kosa lao mzee, thats the only thing they know si unajua hata kupanda ndege hawajawahi
 
Hapa Nipo kijiji Fulani maeneo ya Chunya, hali nayoiona huku, and then this is 2026,
And then anatokea mtu anasema nchi ina flourish, you sound like a clown.
Nchi nzima ya watu milioni 70 mna export $26b halafu you think that’s something really, and what exactly are you exporting to the world, korosho? 😂
Kuna wakati waziri mmoja kilaza akasema nchi za Magharibi zinaionea wivu Tanzania , with overall export of $26b, yaani nchi kama Marekani yenye mji mmoja tu wa Jersey unashinda miji yote ya Africa ionee wivu sisi ?
By the way, mkuu umewahi hata kusafiri nchi za watu wenye akili ? Unaona are you anywhere near nchi yenye watu wenye akili ?
And yes, our leaders are a bunch of incompetent clowns.
sio tu kusafiri i have also lived, alafu Tanzania ni middle income huezi linganisha na marekani, in comparison apart from DRC nchi gan ingine ina export nyingi kushinda tanzania in the region?

And also wewe kua maskini sio chanzo cha kusema nchi haiendelei, economics is all about opportunities, kipindi cha samia apportunities ni nyingi sana, yaani kila biashara ukianzisha kuna hela, sasa itadepend na wewe akili yako ikoje because economics is a game of chances, how sharp is your head in getting those opportunities? if you fail then dont complain kwa yoyote

If we use latest stats, Tanzania grows at an annual rate of 6% to 6.5%, sasa ukishindwa kugrass izo growth usimlalamikie yoyote, its your own because hata marekani maskini wapo
 
Eti vigezo vya TFF 😂😂😂dah. bro umeniacha hoi sana.
in naislum this is a stadium 😂
1783427215852.png
 
Back
Top Bottom