sio tu kusafiri i have also lived, alafu Tanzania ni middle income huezi linganisha na marekani, in comparison apart from DRC nchi gan ingine ina export nyingi kushinda tanzania in the region?
And also wewe kua maskini sio chanzo cha kusema nchi haiendelei, economics is all about opportunities, kipindi cha samia apportunities ni nyingi sana, yaani kila biashara ukianzisha kuna hela, sasa itadepend na wewe akili yako ikoje because economics is a game of chances, how sharp is your head in getting those opportunities? if you fail then dont complain kwa yoyote
If we use latest stats, Tanzania grows at an annual rate of 6% to 6.5%, sasa ukishindwa kugrass izo growth usimlalamikie yoyote, its your own because hata marekani maskini wapo
Middle income, na per capita ya $1200 hahah, anyway;
Nikupe mfano, angalia magari yanayoendeshwa kwenye mitaa yetu bora kabisa kama Kibaki road halafu compare na yanayoendeshwa Sandton, kama umewahi fika,
Hapa sitaki kutaja mitaa ya Kenya sababu huko hali ni mbaya zaidi, CBD ya Nairobi kuna malori yanasafirisha abiria kama PSVs this 2026, awkward.
back to the topic,
Ngoja nikupe facts,
What is 6% or let’s say 10% kwenye uchumi wa $85b na watu million 70?
Hii si pesa ya Mapato ya Facebook kwa Mwaka.
Nchi Kama Tanzania ambapo mji wetu bora kabisa , Dar es Salaam , umejaa hawkers kila pahala, uende kariakoo, manzese, Coco Beach, Mbezi Luis, Bunju, Mbagala, Mwenge na kila pahala,
This alone will tell you we have a long way to go,
Nchi haina opportunities sababu ya viongozi visionless kama mama.
Miji yote sasa hivi imejaa bajaji na bodaboda kama uchafu,
Ni rahisi sana kung’amua kuwa huwezi kuendesha uchumi wa watu millioni 70 bila vibrant manufacturing sector, Mama hawezi elewa hili ndio maana mambo ya maandamano hayatakoma hadi nchi ikae Sawa, vijana wapewe shughuli za kujikwamua kiuchumi.
Then Mimi sio maskini, I have enough for myself and my family, the difference Kati yangu na wengine maybe ukiwemo is that I earn my clean money with dignity, I pay Taxi and I don’t bootlick any silly politician for favors, like many of you.