stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 37,308
- 36,572
heri hata nigerian Air Force, kinda reminds me if commando of Tanzania 😅😅😅
View: https://x.com/zagazolamakama/status/2074109187064307724?s=46
Noana ulivyo reply post yangu, hukufanya upembuzi yakinifu.sasa magufuli kaingia vp apa
Kunyans are very stupid peoole i have ever come across with.Another government owned..
No serious investors coming down south? I wonder why!
Incompetence mzee, mzee wa maoga na maeneleo wapi na wapi , huyu bibi ndio hamna kitu kabisa, 9 good years of wasting time, Tunapiga hatua moja mbele , hatua kumi nyuma. Huyu wa sasa hata hajui anafanya nini mradi tu panakucha.Bagamoyo port inahusiana na nin hapa wakati Ruto alikuwapo bungeni na Bi-mdashi alisema "nimembana bana huko" na Ruto akajibu. Si Ruto alipropose Tanzania; what went wrong?
Your mama is incompetent hii project ikienda Kenya.
Let's be real: Kikwete alifarakana na Kagame, na hata SGR ya mafuta pia ilimshinda kuanza kujenga waka-abandan kabisa SGR due to incompetence na akatiokoa madarakani wakati "coalition of the willing" imeshika hatam na pipeline toka Uganda tayari ikielekezwa Kenya na Magufuli akaingia Madarakani na kupindua meza za SGR na pipeline.
Nini kinamshinda?
that USD 11 bln port ingekuwa imejengwa Ukunduni isingekuwa na pa kuongea!Bagamoyo port inahusiana na nin hapa wakati Ruto alikuwapo bungeni na Bi-mdashi alisema "nimembana bana huko" na Ruto akajibu. Si Ruto alipropose Tanzania; what went wrong?
Your mama is incompetent hii project ikienda Kenya.
Let's be real: Kikwete alifarakana na Kagame, na hata SGR ya mafuta pia ilimshinda kuanza kujenga waka-abandan kabisa SGR due to incompetence na akatiokoa madarakani wakati "coalition of the willing" imeshika hatam na pipeline toka Uganda tayari ikielekezwa Kenya na Magufuli akaingia Madarakani na kupindua meza za SGR na pipeline.
Nini kinamshinda?
why dont you just make it clear magu kafanya nn and wapi alikosea ili twende vizuriNoana ulivyo reply post yangu, hukufanya upembuzi yakinifu.
Kindly, fanya hivyo kuavoid inconveniences.
katika kipindi tanzania inaflourish kiuchumi basi ndo mda huu, as we speak tanzania earns the most money in the region from exports, crazy money inaenda $26B in my last checks, The port is over full as we speak na miradi yote iliobaki inamaliziwa, Sasa inategemea na wewe level yako pia ya uchumi iko vp, because of you were expecting labda wawekezaji wajae bongo kama kenya, hicho kitu hakiwezekani, na hakuna atakaekuja kukikubali,Incompetence mzee, mzee wa maoga na maeneleo wapi na wapi , huyu bibi ndio hamna kitu kabisa, 9 good years of wasting time, Tunapiga hatua moja mbele , hatua kumi nyuma. Huyu wa sasa hata hajui anafanya nini mradi tu panakucha.
Inatupangia vile tunaendesha nchi yetu?🤣🤣 Haya hongeraa... In next Six months refinery itakuwa tayariiii...
What will happen to your G-to-G contract? Umejifunza a breach of contract itakuwa na consequences gani? Na hiyo refinery itakuwaje? PPP? World bank wanasemaje kuhusu kunyaland kuingia kwenye PPP projects?
Acheni njaro za mchana.
kenya - KenyataInatupangia vile tunaendesha nchi yetu?
Mwendo ni ule ule, unafungwa na mpira mwingi unapigiwa
View: https://www.instagram.com/reel/DadBBpKI2UV/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==