Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Majeshi ya Tanzania ni ya upumbavu na utoto sana … Mara ni kubemba kuni Mara ni kumwimbia Rais ka watoto .
Grown ass armed men and women in uniform singing a whole 10 minutes like primary school children to the President during parade .
Hata Moi never scooped that low. That’s too much …🤣🤣🤣🤣🤣🤣‼️‼️
Zile ni sherehe kwenye maadhimisho. Sisi ndio vinara Africa na ndio jeshi lenye history ya kipekee kwenye medani ya vita. Angalia chief defense force na chief of staff wa South Africa, Namibia, Angola, Zimbabwe, Mozambique, Uganda, Burundi, Rwanda, Zambia, Congo DRC wote trained Tanzania.
 
Question,
What if we decide to re-modernize Benjamin Mkapa Stadium? The running tracks we add another 20k seats, then we re-do the exteriors and the roofing?
What capacity will it be ?
Remember, Currently Ben Mkapa is the most modern and the Largest Stadium in East and Central Africa with 65K sitting capacity,
Plus Tanzania is building modern stadia in Zanzibar, Arusha and Dodoma Simultaneously, Just for Afcon 2027.
Could be cheaper building a new one
Middle income, na per capita ya $1200 hahah, anyway;
Nikupe mfano, angalia magari yanayoendeshwa kwenye mitaa yetu bora kabisa kama Kibaki road halafu compare na yanayoendeshwa Sandton, kama umewahi fika,
Hapa sitaki kutaja mitaa ya Kenya sababu huko hali ni mbaya zaidi, CBD ya Nairobi kuna malori yanasafirisha abiria kama PSVs this 2026, awkward.
back to the topic,
Ngoja nikupe facts,
What is 6% or let’s say 10% kwenye uchumi wa $85b na watu million 70?
Hii si pesa ya Mapato ya Facebook kwa Mwaka.
Nchi Kama Tanzania ambapo mji wetu bora kabisa , Dar es Salaam , umejaa hawkers kila pahala, uende kariakoo, manzese, Coco Beach, Mbezi Luis, Bunju, Mbagala, Mwenge na kila pahala,
This alone will tell you we have a long way to go,
Nchi haina opportunities sababu ya viongozi visionless kama mama.
Miji yote sasa hivi imejaa bajaji na bodaboda kama uchafu,
Ni rahisi sana kung’amua kuwa huwezi kuendesha uchumi wa watu millioni 70 bila vibrant manufacturing sector, Mama hawezi elewa hili ndio maana mambo ya maandamano hayatakoma hadi nchi ikae Sawa, vijana wapewe shughuli za kujikwamua kiuchumi.

Then Mimi sio maskini, I have enough for myself and my family, the difference Kati yangu na wengine maybe ukiwemo is that I earn my clean money with dignity, I pay Taxi and I don’t bootlick any silly politician for favors, like many of you.
Unapigia mbuzi gitaa.
 
Kule USA nmeona viwanja vya kisasa kabisa kama kile cha Morocco au cha Arusha, Africa tuachane na haya maviwanja kama mabakuli yashapitwa na wakati.
Mbaya zaidi uwanja kama wa Mercedes Benz umejengwa tangu 2014, more than a decade ago, and too looks futuristic,
Halafu inakuja nchi fulani fukara ya ulimwengu wa tatu yenye uchumi duni kama Kenya inajengewa na wachina kiwanja kimezeeka hata hakijaisha, Kisha wajaluo kama Teargass wanajisifu tu sababu kimepewa jina la their late favorite politician clown 🤡
 
120k zote za nn, waafrika hawana pesa, weka uwanja wa 40k mwisho kabisa 60k ambazo ni nyingi sana.
Ni proposal bado
1783453914009.png
 
Mbaya zaidi uwanja kama wa Mercedes Benz umejengwa tangu 2014, more than a decade ago, and too looks futuristic,
Halafu inakuja nchi fulani fukara ya ulimwengu wa tatu yenye uchumi duni kama Kenya inajengewa na wachina kiwanja kimezeeka hata hakijaisha, Kisha wajaluo kama Teargass wanajisifu tu sababu kimepewa jina la their late favorite politician clown 🤡
and whats funny raila alikua mbunge wa kibera
 
Mbaya zaidi uwanja kama wa Mercedes Benz umejengwa tangu 2014, more than a decade ago, and too looks futuristic,
Halafu inakuja nchi fulani fukara ya ulimwengu wa tatu yenye uchumi duni kama Kenya inajengewa na wachina kiwanja kimezeeka hata hakijaisha, Kisha wajaluo kama Teargass wanajisifu tu sababu kimepewa jina la their late favorite politician clown 🤡
Ila humu kuna wenzetu walikuwa wanasema US ina viwanja vibovu vya kizamani kisa wamesikia viwanja vya Qatar vina AC kumbe hayo madude yote ya USA yana close/open roof na full AC kama ulivyosema tangu 2014!
 
hata cha ngong kilitakiwa kua ivo ila mpunga ukakata ikabidi wachukue nyasi za nyeri
 
Ila humu kuna wenzetu walikuwa wanasema US ina viwanja vibovu vya kizamani kisa wamesikia viwanja vya Qatar vina AC kumbe hayo madude yote ya USA yana close/open roof na full AC kama ulivyosema tangu 2014!
Hii World Cup imenifanya nione Africa tuna survive aisee,
Imagine nchi inajenga uwanja kama Huu na ndio the best they have 😀😀😀

IMG_3942.jpeg
IMG_3940.jpeg
IMG_3941.jpeg
IMG_3939.jpeg
 
Back
Top Bottom