Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

:FIRE: Rironi- mau summit expressway
1000022329.jpg
1000022330.jpg
1000022332.jpg
1000022331.jpg
 
Dodoma una running track, inaonesha serikali haiitaki kujenga pure soccer stadium . Imeiachia kazi club za mpira
Dodoma wangejenga uwanja kama ule wa Fumba, usiwe na running track, Arusha inatosha kuwa na track kule ndipo kuna wakimbiza upepo.
 
Dodoma una running track, inaonesha serikali haiitaki kujenga pure soccer stadium . Imeiachia kazi club za mpira
Mimi naona ni sawa viwanja vya Gov kuwa multipurpose. Ili hata AFCON ikiisha viweze kutumika. Pia riadha nao wapate standard facilities. Watumie hata michezo ya UMISETA.
 
Hapa Nipo kijiji Fulani maeneo ya Chunya, hali nayoiona huku, and then this is 2026,
And then anatokea mtu anasema nchi ina flourish, you sound like a clown.
Nchi nzima ya watu milioni 70 mna export $26b halafu you think that’s something really, and what exactly are you exporting to the world, korosho? 😂
Kuna wakati waziri mmoja kilaza akasema nchi za Magharibi zinaionea wivu Tanzania , with overall export of $26b, yaani nchi kama Marekani yenye mji mmoja tu wa Jersey unashinda miji yote ya Africa ionee wivu sisi ?
By the way, mkuu umewahi hata kusafiri nchi za watu wenye akili ? Unaona are you anywhere near nchi yenye watu wenye akili ?
And yes, our leaders are a bunch of incompetent clowns.
Kikwete katypotezea sana muda na genge lake ndani ya ccm.
2005 tulitakiwa tuwe na Dr Salim A Salim kama rais, ulimwengu ulitushangaa sana.
Kikwete mpaka wamama walikuwa wamazalia chini; miaka 10 ya uongozi wake alipeleka umeme kwenye vijiji 2,000 tu na hapo akipatiwa msaada wa Mcc wa over $500m.
Magufuli ndani ya 5 years vijiji 8,000+, ingumchukua Kikwete 40yrs kufanya hivi.
Ndio katuletea janga la bodaboda kwakua wapo wajinga wananufaika na uagizaji na uzalishaji wa huu ujinga.
Nchi leo ingekuwa chini ya Dr Hussein Mwinyi kama sio yeye kutuletea huyu bibi.
 
Ukitoa roof, huu uwanja design yake kama Arusha stadium
View attachment 3624336
That's a fully enclosed, fully air-conditioned stadium worth 10 times more than the Arusha debe.
Yours is airconditioned by surrounding Arusha vumbi.

The only thing the 2 can compare is your cheap attempt at copying the shape and design.
 
Duh! Huu uwanja unaotumika Argentina vs Egypt, live now, una stairs from one level to another. Nimekumbuka kuna kenge humu walikuwa wanaponda Arusha stadium kuwa na stairs! Niliwaambiabhawa mbuzi wasilete ujuaji kwemye vitu wasivyovijua.
 
Back
Top Bottom