Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe huwa nakuambiaga kila siku hujuangi content za links unaletanga humu inasemaje. Ona hii sasa

Tukio limefanyika Sri Lanka, thousands of kilometers from Kenya, lakini kwa vile wewe ni mjinga asiye na kipimo coz umeona poster ya Kenya prisons, you didn't even take a minute to click the link and read the whole story. You are so delusional kijana wa Tandale. Kenya lives rent-free in your head and it's really annoying. Get some life and some job as well. This idleness ya kushinda JF usiku na mchana trolling itakufiksha pabaya!
Ndo maana wanaitwa wachawi
Wanafurahi na kusherekea kifo na ajali kenya
Maendeleo ni uchungu unawawasha
 
Ndo maana wanaitwa wachawi
Wanafurahi na kusherekea kifo na ajali kenya
Maendeleo ni uchungu unawawasha

"Ndo maana wanaitwa wachawi"

1783431458767.png
 
Dodoma una running track, inaonesha serikali haiitaki kujenga pure soccer stadium . Imeiachia kazi club za mpira
Dodoma wangejenga uwanja kama ule wa Fumba, usiwe na running track, Arusha inatosha kuwa na track kule ndipo kuna wakimbiza upepo.
 
Dodoma una running track, inaonesha serikali haiitaki kujenga pure soccer stadium . Imeiachia kazi club za mpira
Mimi naona ni sawa viwanja vya Gov kuwa multipurpose. Ili hata AFCON ikiisha viweze kutumika. Pia riadha nao wapate standard facilities. Watumie hata michezo ya UMISETA.
 
Hapa Nipo kijiji Fulani maeneo ya Chunya, hali nayoiona huku, and then this is 2026,
And then anatokea mtu anasema nchi ina flourish, you sound like a clown.
Nchi nzima ya watu milioni 70 mna export $26b halafu you think that’s something really, and what exactly are you exporting to the world, korosho? 😂
Kuna wakati waziri mmoja kilaza akasema nchi za Magharibi zinaionea wivu Tanzania , with overall export of $26b, yaani nchi kama Marekani yenye mji mmoja tu wa Jersey unashinda miji yote ya Africa ionee wivu sisi ?
By the way, mkuu umewahi hata kusafiri nchi za watu wenye akili ? Unaona are you anywhere near nchi yenye watu wenye akili ?
And yes, our leaders are a bunch of incompetent clowns.
Kikwete katypotezea sana muda na genge lake ndani ya ccm.
2005 tulitakiwa tuwe na Dr Salim A Salim kama rais, ulimwengu ulitushangaa sana.
Kikwete mpaka wamama walikuwa wamazalia chini; miaka 10 ya uongozi wake alipeleka umeme kwenye vijiji 2,000 tu na hapo akipatiwa msaada wa Mcc wa over $500m.
Magufuli ndani ya 5 years vijiji 8,000+, ingumchukua Kikwete 40yrs kufanya hivi.
Ndio katuletea janga la bodaboda kwakua wapo wajinga wananufaika na uagizaji na uzalishaji wa huu ujinga.
Nchi leo ingekuwa chini ya Dr Hussein Mwinyi kama sio yeye kutuletea huyu bibi.
 
Back
Top Bottom