Hasira za nini bwana
IamLee sasa kuniita coward kutakuondolea maumivu ya umasikini uliokomaa huko Kenya? Kuhusu issue ya malls unayoiimbua tena leo tuliipigana vizuri sana na ukawa unavizia tumelala usiku wa manane unatuma picha ili usijibiwe. Tukiamka asubuhi tunakuna maelfu ya picha na tunashindwa kuzichambua.
Na kama ilivyo kawaida yenu ya kubeba visivyo vyenu, kama mnavyotangaza kuwa mlima Kilimanjaro upo Kenya, hamshindwi kuleta picha kutoka nchi zingine ili kujijaza sifa za kijinga.
Lakini leo watu wote wameomba drone view photo ya Nairobi unaruka ruka tu na kushika kila tawi kama mfa maji.