Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ni maembe sana. 😂😂
KCB had revenues of $1.7 billion last year. How much did your tiny CRDB and NMB have.

The only thing LDC bongolala have worth more then Kenya is delusions. 😂😂😂
Do u know the meaning of valuation?
 
Hawa ndio hutupigia kelele hapa kuhusu road infrastructure. 😂 😂 😂 😂 Hizi vitu munatamani tayari zinakua implemented in Nairobi. Kumbe the longest dual highway in Dar is a slum ni moja tu, na imejazwa zebra crossing kama serengeti. 😂 😂 😂

Image
Nairobi ipi? Hii ya Ukunduni?
 
If there were no so many NGOs in Kenya, Kibera would have been unknown factor .. but Kenya is a popular country, sameway there are slums all over South America but we only know of Brazilian favelas … There are are slums in Southern Africa ( Zambia, Malawi , Mozambique etc) but we only hear of Soweto in RSA coz of the status of Southie ..unfortunately everyone knows Tanzania is a poor country therefore nobody cares much about your slums but they exist whether you accept it or not If you show hereby photos to anyone outside of Dar , 99% of the survey will tell you it’s nothing but an endless slum … ( 50 times bigger than Kibera).. Facts!
View attachment 3603989View attachment 3603990View attachment 3603991
Vijana wa Nairobi wanahangaika kutafuta picha za Dar es salaam za mwaka 2009. Kwa hili la TBT tunawapongeza sana, mnatukumbusha miaka hiyo namna Dar ilivyokuwa. Lakini JF iliwataka mlete picha moja tu ya drone view mlitokomea vichakani.
Sasa mnapotuletea TBT za Dar es salaam sijui tuwaone kuwa akili zenu hasitoshi au mnatakaje?

Lakini ujanja wenu tumeujua, sisi waungwana wala hatuwezi kusema kuwa ukosefu wa chakula hapo Kenya unawafanya muwe na mtindio wa ubongo
 
Umasikini na uchafu Kenya umezidi kipimo. Hakuna sehemu yoyote kwenye universe ambapo watu wanaishi kama nguruwe kama hapo Nairobi. Sijui hawa wenzetu kama ni viumbe wanaopumua au ni walking dead objects.
Wakenya ni wachafu kupindukia, Tanzania toka Nyerere kuna viongozi kila mtaa, kijiji wanaitwa mabwana afya/ mabibi afya wanapita mitaani kuangalia utupaji taka, mazingira ya choo na usafi wa mazingira na wanatoa fines ukienda kinyume, hii kitu kwa wakenya haipo em NairobiWalker mna social workers wa aina hii kwenye kila ward hapo Kenya?

20260609_100652.jpg
20260609_100658.jpg
20260609_100716.jpg
20260609_100728.jpg
20260609_100739.jpg
 
Wakenya ni wachafu kupindukia, Tanzania toka Nyerere kuna viongozi kila mtaa, kijiji wanaitwa mabwana afya/ mabibi afya wanapita mitaani kuangalia utupaji taka, mazingira ya choo na usafi wa mazingira na wanatoa fines ukienda kinyume, hii kitu kwa wakenya haipo em NairobiWalker mna social workers wa aina hii kwenye kila ward hapo Kenya?

View attachment 3604137View attachment 3604138View attachment 3604139View attachment 3604140View attachment 3604141
Kaka tatizo la kenya wala siyo wakenya wenyewe. Kaka mkoloni alipoingia kenya alibeba ubongo wao wote na kuufungia kwenye makumbusho huko ulaya. Fikiria, hivi kweli mtu mwenye akili timamu anaweza kujisifia kwa kuongea kingereza? Nchi nzima inajisifu kuwa inaonega kingereza kizuri. Haya ni maajabu.
 
Tena ni Rais mzima anasema wanaongea English kuliko wazungu 😂😂😂

View: https://x.com/i/status/2019369017744716085

View: https://x.com/i/status/2047402815866187911
 
Tena ni Rais mzima anasema wanaongea English kuliko wazungu 😂😂😂

View: https://x.com/i/status/2019369017744716085

View: https://x.com/i/status/2047402815866187911

Kaka ukweli usiopingika ni kwamba mzungu aliwatendea mbaya sana wakenya. 😭 😭 😭 Na cha ajabu zaidi siyo tu kwamba mzungu alivuna akili ya wenzetu bali na Mungu naye alibariki na kuifanya nchi hiyo iwe na njaa ya kutupwa kila mwaka.

Sisi watanzani hatuna cha kufanya zaidi ya kuwahurumia tu.
 
Back
Top Bottom