Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Najifurahisha na nini? Ni uwongo kwamba Dar mnatumia choo ya kuchimba chini ya ardhi (pit latrine)?
1780942099757.png

1780942130267.png
 
Unajisumbua sana kuweka video nyingi hapa JF, unadhani ni nani atapoteza muda wa kuanza kuzipitia video hizo zote? Wewe weka picha kama ile picha uliyoweka ya horizontal. Weka picha ya drone view.

Kila mtu anajua kwa jinsi Nairobi ilivyo ndogo just one shot ina cover jiji zima.
JF inakutaka ulete Drone view photo
 
Unataka "drone view" lakini hutaki kuona video imechukuliwa na drone!

Bongolala ni bongolala tu
 
Unataka "drone view" lakini hutaki kuona video imechukuliwa na drone!

Bongolala ni bongolala tu
Sasa ndugu yetu British Bulldog!!! unaleta kundi kubwa la links za Youtube videos nani ataanza kupitia kila video na kuona drone view ya Nairobi?
Nguvu ya kutafuta video zote hizo nyingi umeipata, umeshindwa kuleta picha moja tu ya drone view ya Nairobi?
Sasa hivi ni mwaka wa tatu tunawasihi ndugu zetu mtuletee drone view photo lakini mnaishia mitini.

Members wa JF wanauliza kwanini ndugu yetu Nicxie hutaki kuleta drone view photo ya Nairobi?
 
Back
Top Bottom