President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,620
- 94,217
Leo Rais wa Singapore ameingia Tanzania kama utamaduni wetu ulivyo kapokelewa kwa bashasha za kufa mtu. Kwajinsi wakenya walivyowashamba walidhani bashasha tulizompokea Ruto kuwa ni Unique, eti wenyewe wamepokelewa Tanzania kipekee. Wakenya hawana amaarifa ya Protocal.
kupokea wageni kwa bashasa Tanzania ni jadi yetu na utamaduni wetu:
kupokea wageni kwa bashasa Tanzania ni jadi yetu na utamaduni wetu: