Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unataka "drone view" lakini hutaki kuona video imechukuliwa na drone!

Bongolala ni bongolala tu
let me help you summarize the content in the video

1780946147271.png
 
Unataka "drone view" lakini hutaki kuona video imechukuliwa na drone!

Bongolala ni bongolala tu
Sasa ndugu yetu British Bulldog!!! unaleta kundi kubwa la links za Youtube videos nani ataanza kupitia kila video na kuona drone view ya Nairobi?
Nguvu ya kutafuta video zote hizo nyingi umeipata, umeshindwa kuleta picha moja tu ya drone view ya Nairobi?
Sasa hivi ni mwaka wa tatu tunawasihi ndugu zetu mtuletee drone view photo lakini mnaishia mitini.

Members wa JF wanauliza kwanini ndugu yetu Nicxie hutaki kuleta drone view photo ya Nairobi?
 
Hawa ndio hutupigia kelele hapa kuhusu road infrastructure. 😂 😂 😂 😂 Hizi vitu munatamani tayari zinakua implemented in Nairobi. Kumbe the longest dual highway in Dar is a slum ni moja tu, na imejazwa zebra crossing kama serengeti. 😂 😂 😂

Image
 
If this one here is poverty
View attachment 3603937

...then I don't know what adjective to use to describe this
View attachment 3603940

Ndugu yetu Nicxie watu wote wanasubiri ulete drone view photo. Hizi hiyo picha uliyoleta siyo drone view. Kwanini lakini unaogopa kuweka picha ya drone ya Nairobi? Hizo slums zikionekana hakuna wa kukucheka kaka. Watu wa hapa JF ni wastaarabu hawawezi kudharau maisha magumu na njaa ya watu wa Nairobi.

Kaka usiogope sisi sote tunakusihi ulete drone view photo utakuwa umewatendea kitu cha maana sana wakazi wa Nairobi maana utakuwa umetangaza utalii wa Kibera Slums.

Karibu Ndugu yetu
 
Wewe ni maembe sana. 😂😂
KCB had revenues of $1.7 billion last year. How much did your tiny CRDB and NMB have.

The only thing LDC bongolala have worth more then Kenya is delusions. 😂😂😂
Sijui na wewe umefufuka kutokea wapi? Unakurupuka tu na kuja kudandia gari kwa mbele. Umesoma kilichoandikwa vizuri au ni ule upugufu wa akili wenu unaotokana na ukosefu wa chakula bora? Kabla sijakujibu hebu waambie wana JF umekula lakini?
 
you dont have to think because we are tired of your old photos, and we already congratulated you on making it to the top 10 world poorest
Why lie in 2026 where information is at a fingertip…that place still looks the same … prove us wrong…. Waiting… time ticking….🤣🤣🤣
 
mbona unakuwa pimbi wewe mbona kabla ya Karia hakukuwa na matoke? Sio kila kitu unajua mzee, wacha uswahili!
Uswahili uko wapi?
Huko nyuma nchi ilikuwa ikikabiliana na matatizo mengi kama kiwango duni kwenye ligi yetu, kutokuwa na academies. Nchi imeshapiga hatua kubwa sana kwenye haya maeneo kabla hajaingia madarakani na aina ya makocha wake anao appoint.

Kila mtu yuko hapa kushare their opinions on all matters zinazo husu nchi yetu na Kenya. Share yours kama una lolote constructive la kusema, kuongeza ama kupinga na sio kutukana watu hovyo karibia kila kukicha.

Tunachosema ni kuwa, tuko kwenye nafasi nzuri sana ya kufanya vyema zaidi na aapointment zake za makocha ndio shida tuliyonayo kwakua tayari tumesha maliza changamoto nyingi tulizokuwa nazo huko nyuma.


View: https://x.com/KipepeComrade/status/2006095401481298065

Iko hivi, sis ni watu wa mpira na kitambo tulisha propose mambo ya msingi kwenye soka na baada ya miaka kadhaa wametusikiliza na wamefanya yaliyo sahihi.


View: https://x.com/KipepeComrade/status/1653087997686956041

Years later....

View: https://x.com/mshambuliaji/status/1941510675131507173
 
Sijui na wewe umefufuka kutokea wapi? Unakurupuka tu na kuja kudandia gari kwa mbele. Umesoma kilichoandikwa vizuri au ni ule upugufu wa akili wenu unaotokana na ukosefu wa chakula bora? Kabla sijakujibu hebu waambie wana JF umekula lakini?
Hawez tofautisha kati ya revenue na market cap. Msamehe Bure, unaweza ukawa na revenue kubwa ila investors wakaona Huna foreseeable future hivyo confidence kwako ikawa ndogo
 
Why lie in 2026 where information is at a fingertip…that place still looks the same … prove us wrong…. Waiting… time ticking….🤣🤣🤣
and again what happend to you documentary? and once again we already said this over and over again we dont have slums here, even Uganda i have seen they finalized on removing all slums, its only your village that has slums and takes position 1 in africa in slums and second in the milky way
 
and again what happend to you documentary? and once again we already said this over and over again we dont have slums here, even Uganda i have seen they finalized on removing all slums, its only your village that has slums and takes position 1 in africa in slums and second in the milky way
If there were no so many NGOs in Kenya, Kibera would have been unknown factor .. but Kenya is a popular country, sameway there are slums all over South America but we only know of Brazilian favelas … There are are slums in Southern Africa ( Zambia, Malawi , Mozambique etc) but we only hear of Soweto in RSA coz of the status of Southie ..unfortunately everyone knows Tanzania is a poor country therefore nobody cares much about your slums but they exist whether you accept it or not If you show hereby photos to anyone outside of Dar , 99% of the survey will tell you it’s nothing but an endless slum … ( 50 times bigger than Kibera).. Facts!
IMG_8957.jpeg
IMG_8958.jpeg
IMG_8959.jpeg
 
Back
Top Bottom