stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,319
- 33,837
Nairobi ipi? Hii ya Ukunduni?
kuna tv zinauzwa uku wahi chap ni mbao mbao
are you sure umeangalia the pics umepost?Someone is asking for Nairobi drone views. He must be new here from the look of things. We've been posting pictures like these ones below for the longest time hadi minyamwezi yakaangaza kulalamika hapa ikabidi tuwaache wapumzike kidogo. That guy must be new in this game
Sijaangaliaare you sure umeangalia the pics umepost?
What about it bongolala?
If you only listened when i told you to check the photos you posted, or is the the best pics of nairobi slum?What about it bongolala?
Bongolala sema ni data huna ya kuwatch videos. Stop hiding behind keyboard wakati wewe ni moja ya wale watu wanashinda humu hadi usiku wa manane. Wewe na Stakehigh anayeshinda humu 24/7 mko na tofauti gani? Alafu unakuja hapa na nyefnyef eti mko busy 😂😂Mdogo wetu Nicxie sitaki kusema kuwa uelewa wako upo chini ya kiwango, lakini kwa comment hii inawashawishi members wote wa JF wakuone Zuzu. Lakini pole yangu ikufikie pale ulipo ndani ya Kibera slums
Ewe mdogo wetu, watu wote humu JF wapo busy na kazi zao siyo jobless kama vijana wote hapo Nairobi. Sasa unapoweka videos hizo je, unadhani kuna mtu yeyote hapa JF mwenye akili timamu atazipitia?
Kila member hapa JF anasubiria picha moja tu ya Drone View.