Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,946
- 34,991
😀😀😀
Facts zimekuanuka, Hauna cha kusema ushaanza kuongea na umama, I don’t even drink dude.. 😅Mlevi .
This shit is really cheap. Viti sijui waliomba used huko china. 😂😂
View: https://vt.tiktok.com/ZSQMYgdhK/.
You sound stupid.Dont be so desperate that you are blinded, yani unapost the same seats arusha and talanta but ya talanta ndio cheap 😅😅
Argue with reason don’t be a bongozozo
Wee lofa danganya wasiojua Tanzania. Hapo Tanzania PSV van mpya zaidi ni H100 ambayo ni model ya 1989 -2003. Yani hapo bado hiace za 1970s zinapiga kazi alafu utwambie hamnunui gari mzee? Hivi unamaanisha mara ya mwisho hiace kununuliwa hapo ni 2003 ama unajaribu kudanganya nani?Hizi takataka majibizana nazo usiku huu zinatokaga wapi?
I told you, Any PSV being imported to TZ is always 0km and the most Decent Model.
Hakuna kitu kama second used psv being imported to Tanzania,
Hivi I thought you only have ugly faces, kumbe you brains are uglier.
Sasa mbona sisi tukipost picha nzuri za Kenya huwa mnasema ni filter.🤣🤣🤣Mwanamke mswahili ukimsifia amependeza atakujibu “na uzuri unachangia”
Ni kwamba kitu lazima kiwe kizuri by itself kwanza ndio hata filter ikubali, miji mibovu kama Kitale hata uapply filter vipi bado utakuwa Mbovu tu. 🤣
Wee lofa danganya wasiojua Tanzania. Hapo Tanzania PSV van mpya zaidi ni H100 ambayo ni model ya 1989 -2003. Yani hapo bado hiace za 1970s zinapiga kazi alafu utwambie hamnunui gari mzee? Hivi unamaanisha mara ya mwisho hiace kununuliwa hapo ni 2003 ama unajaribu kudanganya nani?
Wacha nikupe mfano, kwa hiyo picha yako uliyopost mwenye hicho ki-hiace ni H100 zile za kwanza kwanza meaning ni model ya early 90s. Utakuwa mwendawazimu kutuambia kimenunuliwa zero mileage. ni hizo ndio miongoni mwa PSV van mpya zaidi hapo bongo.
![]()
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu atakubaliana na wewe na kushirikiana na mkenyaWatanzania wenye akili wameukubali ukweli ila vinyangarika vya JF vinabaki kujifariji. 🤣 🤣
hii stadium haijaanza kutumika ina matatizo mengi
NairobiWalker sisi tunakuja mdogo mdogo tu na tunachukua kitu kimoja komoja
View: https://x.com/Uchumi360/status/2063872458512310463?s=20
This shit is really cheap. Viti sijui waliomba used huko china. 😂😂
View: https://vt.tiktok.com/ZSQMYgdhK/.
also a kenyan from hunger
talanta seats are so cheap mpaka mtu anabeba the whole section mwenyeweDont be so desperate that you are blinded, yani unapost the same seats arusha and talanta but ya talanta ndio cheap 😅😅
Argue with reason don’t be a bongozozo