HAKUNA FACT YOYOTE ni chuki tu inakusumbua na utoto
Kinachokusumbua ni chuki tu kaka, zingine ni sababu tu.
Wapo akina Jomo Kenyatta walikuwa hawana shule lakini wanaheshimika huko Kenya.
Wapo akina Kishimba wameishia la saba, but ni matajiri.
Wapo akina Bhakresa wameishia la saba but ndio matajiri wakubwa Tanzania.
Tuambie sasa wewe unayejiita msomi umelifanyia nini taifa la Tanzania? Do you have any legacy in this country?
Mtu unaye mdharau amewahi kuwa Waziri wa Office ya makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mtu unayemdharau amewahi kuwa Naibu Spika wa bunge la Katiba, huku spika akiwa ni Samuel Sitta, Huyu unayemdharau amewahi kuwa makamu wa Rais, Na Magufuli alimsifia.
Sasa tueleze wewe umewahi kuwa hata monitor darasani?