Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Utachukua miaka kibao kujua siasa kaka. Unakasirika bure tu bila hata sababu. Kuna mambo mengi mno ya msingi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyasema jana, kwa sababu wewe ni Maria Sarungi oriented unajikita kwenye trivial issue, Tafsiri rahisi ya hayo unayoyakuza ni wewe hujui siasa unapost vitu kwa emotions.

Sisi tutakuhurumia tu maana hujui siasa siku ukijua utajipiga kifua na kujiona namna ulivyo mjinga. Samahani lakini kwa kukuita mjinga.

Unataka Rais atoe mkakati kwenye swali ambalo likijibiwa linaleta political tension? Samia ni mwanasiasa mbobevu anajua kucheza na maneno

Wewe unataka ajibu kulingana na matakwa yako. Hilo jibu lipo sahihi kisiasa kaka. Amka kaka utoke usingizini. Tena wachambuzi nguli wa kisiasa wamekubali jibu hilo lipo sahihi mno.

NB: Tanzania haifungamani na upande wowote, ndio maana tunafanya na watu wote. Na ni kweli Tanzania hatuna sanction au alisema uongo?

Huyo Maria Sarungi uliyemkazania mimi kaniblockmiaka zaidi ya 7 sasa. Mimi nilikuwa team Magufuli miaka yote. Sina nilichokasirika.
Nimehilight hapo jinsi rais mwney uwezo mpana wa akili alitakiwa kusema na sio kuongea vitu usivyo ulizwa.
1780771048254.png

Huwezi jibu hatuna sanctions, This ni clear hujaelewa swali.
She wasn't asked: Is Tanzania under sanction?

Swali:
How are you going to circumvent or bypass sanctions?

An appropriate answer to that question was to establish her government's strategies in dealing with sanctions.
However, if the point were to downplay the question, she could have simply answered:
1. "That is the kind of question that I am not in a position to answer."
Or, as Trump did the same in the Oval Office:
2. "Are you serious with that question?"

Sio majibu aliyotoa: "hatuko kwenye sanctions, hatuko kwenye sanctions kabisa"
Who asked her that? 🚮
 
Attachments

  • 1780770149070.png
    1780770149070.png
    43.8 KB · Views: 15
Huyo Maria Sarungi uliyemkazania mimi kaniblockmiaka zaidi ya 7 sasa. Mimi nilikuwa team Magufuli miaka yote. Sina nilichokasirika.
Nimehilight hapo jinsi rais mwney uwezo mpana wa akili alitakiwa kusema na sio kuongea vitu usivyo ulizwa.
View attachment 3602598
Huwezi jibu hatuna sanctions, This ni clear hujaelewa swali.
She wasn't asked: Is Tanzania under sanction?

Swali:
How are you going to circumvent or bypass sanctions?

An appropriate answer to that question was to establish her government's strategies in dealing with sanctions.
However, if the point were to downplay the question, she could have simply answered:
1. "That is the kind of question that I am not in a position to answer."
Or, as Trump did the same in the Oval Office:
2. "Are you serious with that question?"

Sio majibu aliyotoa: "hatuko kwenye sanctions, hatuko kwenye sanctions kabisa"
Who asked her that? 🚮
Kaka unahangaika na vitu vidogo mno ambavyo havina hata issue ya maana. Nimekueleza Rais alizungumza vitu vingi mno so hujaviona? Kuwa Team Magufuli au team so and so haikupi uhalali ya kusosoa kila kitu hata kitu ammbacho hakina msingi.

Wanasiasa wote duniani wapo hivyo. Ndio maana ninakuona wewe ni mgeni wa siasa na unaeneza propaganda za akina Maria Sarungi either kwa kujua au kutokujua kwasababu ya chuki zako binafsi zisizo na kichwa wala miguu.

Wanasiasa kama Trump wamekuwa wakifanya hivyo mara nyingi tu. Kwa kuwa wewe ni mgeni wa kujua mambo unakomaa na vitu ambavyo ni very minor na unataka kuvikuza. Hizo siasa za maji taka za akina Maria Sarungi watanzania wote wanazijua.

Kuna mambo mengi tu ya msingi Rais aliyaongea tena yenye tija katika nchi yetu. Jifunze ku appliciate michango ya watu katika taifa. Hakuna mtu ambaye alikuwa hampendi Magufuli, kila mtu alikuwa anampenda tena sana, na kuna wengine walikuwa wanampenda zaidi yako, but tayari alishatutoka hatunaye tena, maisha lazima yaendelee. Tumewahi kufiwa na wazazi ambao tulikuwa tunawapenda sana lakini hayo yalipita na tukaamua kuachilia na kusonga mbele.

Tatizo lako hutaki kuachilia, hutaki kukubali kuwa Magufuli is not here any more, moyo wako hautaki kukubaliana na uhalisia, Siku moyo wako utakubali kuwa mpendwa wetu hayupo tena, hutaendelea kupambana na watu kwa kutumia emotions zako.

Wapo watu wengi sana hawataki kuachilia, Jifunze kuachilia na maisha yaendelee.

ASANTE
 
"kusosoa kila kitu hata kitu ammbacho hakina msingi."

Wapi nimepinga kila kitu?
Mimi nimesimama sehemu moja: Samia hana uwezo mzuri wa kiakili na alifeli kuanzia primary to secondary na elimu yake ni ya kuunga-unga.
FACT.
 
Any typical photos of Kibera we see here posted by Bongolalas don’t reflect the reality happening on the ground. In 2 years time, half of Kibera we know will be in skyscrapers…and the journey continues…
IMG_8946.jpeg
 
"kusosoa kila kitu hata kitu ammbacho hakina msingi."

Wapi nimepinga kila kitu?
Mimi nimesimama sehemu moja: Samia hana uwezo mzuri wa kiakili na alifeli kuanzia primary to secondary na elimu yake ni ya kuunga-unga.
FACT.
HAKUNA FACT YOYOTE ni chuki tu inakusumbua na utoto
Kinachokusumbua ni chuki tu kaka, zingine ni sababu tu.
Wapo akina Jomo Kenyatta walikuwa hawana shule lakini wanaheshimika huko Kenya.

Wapo akina Kishimba wameishia la saba, but ni matajiri.
Wapo akina Bhakresa wameishia la saba but ndio matajiri wakubwa Tanzania.

Tuambie sasa wewe unayejiita msomi umelifanyia nini taifa la Tanzania? Do you have any legacy in this country?

Mtu unaye mdharau amewahi kuwa Waziri wa Office ya makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mtu unayemdharau amewahi kuwa Naibu Spika wa bunge la Katiba, huku spika akiwa ni Samuel Sitta, Huyu unayemdharau amewahi kuwa makamu wa Rais, Na Magufuli alimsifia.

Sasa tueleze wewe umewahi kuwa hata monitor darasani?
 
"kusosoa kila kitu hata kitu ammbacho hakina msingi."

Wapi nimepinga kila kitu?
Mimi nimesimama sehemu moja: Samia hana uwezo mzuri wa kiakili na alifeli kuanzia primary to secondary na elimu yake ni ya kuunga-unga.
FACT.
Also

Mambo ya shule kaka ni endelevu. Mtu anaweza kuingia darasani akiwa mtu mzima na kuokota hivyo vyeti.

Vyeti ni makaratasi tu yasikuvimbishe kichwa. Mtu yoyote kwa muda wowote anaweza kupata.
 
Back
Top Bottom