Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,034
- 107,533
Stadium stairs inside terraces use this straight model where stairs lead directly to entry/exit points. This is the norm world over.Let’ us see ur stairs n compare!
Acha kutupigia kelele humu nenda JNICC mchana sa nane ukaulize swali lako. Nenda pale kaulzia maswali yako yote utapata ufafanuzi zaidiTafuta speach yake mwenyewe akikiri hilo, tena kwa lugha nyepesi:
"Sijufanya vizuri mitihani yangu"
Chaguo la Vice President la Magufuli ni Dr. Hussein Mwinyi mwenye elimu ya kweli na uwezo wa kuongoza na kazi zake wala haziitaji mbeleko na hizi honoris causae zosizo na idadi.
Mnatengeneza maku 🤣🤣🤣🤣Sisi hatutengenezi masufuria. Ukiumia we umia tu 😂😂😂
Hii uwanja ni cheap bhana 😂😂😂👇🏾 hebu cheki
View: https://vt.tiktok.com/ZSQYDjrSF/.
Iko hivi bwana mdogo:Samia aliingia kwenye CCM Central Committee (CC) mwaka 2002 sijui wewe ulikuwa wapi. Na kabla ya hapo alikuwa mjumbe wa NEC. Unadhani kazi hiyo ni rahisi mzee.
Yaani miaka yote hiyo asijue siasa halafu wewe umzidi na Maria Sarungi wako?
1986 - Alipata advanced diploma (Kipindi hicho ilikuwa Equivalent to Degree) Public administration - Wewe 1986 ulikuwa wapi?
1992 na 1994 alisoma University of Manchester akapata - Postgraduate diploma in economics (Wewe miaka hiyo upo O-Level pale Tanga Tech ukicheza)
Sasa unakuja unaleta takwimu za uongo hapa ili kujifurahisha wewe na Maria Sarungi, Uwe mkeli acha chuki zako hizo za kipuuzi. She is a Woman and she is doing very good zaid ya wanaume wengi tu duniani kwenye mataifa yao.
Tangu Nyerere aende huko Urusi ni yeye wa pili kwenda huko. Mambo haya yanawauma sana wanaume waliowengi. Wanajiunga kumchafua kila kona. But aliyebarikiwa kabarikiwa tu, watu wenye akili wanaona
Point yangu ni kwamba huo uwanja ni low quality. Show me any modern stadium with such winding stairs inside the terracesPoint yako hapa ni nn, kwamba hakuna uwanja wenye ngazi kama hzo auuu?
Siku nikiwa Tanzania nitakwenda.Acha kutupigia kelele humu nenda JNICC mchana sa nane ukaulize swali lako. Nenda pale kaulzia maswali yako yote utapata ufafanuzi zaidi
View attachment 3602772
Moja ya hizo viwanda 2000 ndio hii hapa 🤣🤣🤣🤣🤣Yet AZAM dominates every sector in bongoslum. Bakhresa na MO ndio wameshikilia FMCG industry huko bongoslum while trying to compete with Kenyan and global brands which are of superior quality. Lakini mbona uite poshomill kiwanda. 😂 😂 😂 Eti viwanda elfu mbili.
Atakuambia ni data za kupikwa 🤣🤣🤣You want to go on a comparison spree of textile manufacturing?
Athi River area near Nairobi produces and exports more clothes than Bongolala, Uganda and Burundi combined.
Ungelikua na hata iota ya akili ungetambua Tanzania is a captured state na kundi la mafisadi na ndio wanapanga nani awe huko Usalama.Hakuna Speach hiyo, hizo ni cheap Propaganda mzee, tunazijua. Hizo ni tabia za Ki Maria Sarungi kila mtu analijua hilo. Kuandika uongo
Urais ni Taasisi siyo ufalme wa kujichagulia tu wewe unachotaka. Taasisi za Usalama ndio zinazofanya kazi siyo matakwa ya mgombea Urais. Nimekuambia wewe bado sana kujua masuala ya National Interests
Taasisi zote za usalama duniani zinafanya analysis na kuweka mtu anayefaa katika eneo husika kwa wakati husika. Sasa unataka kutuambia wewe unaakili kuwazidi watu wote waliopo huko kwenye Taasis ya Usalama?
Nilikuwa najua kuwa wewe ni mjinga lakini si kwa kiwango hiki
Kwenye Uongozi hatuhitaji genius or whatever unachojaribu kusema. Tanzania we have stable system not a person. Nchi zote duniani zinatengeneza stable system siyo person. Magufuli alifanya hivyo kwasababu System ili m brand hivyo not him. Kwa kuwa wewe ni short sighted unadhani Magufuli alikuwa hivyo kwa sababu yake mwenyewe.Iko hivi bwana mdogo:
Akili:
Akili ni talent mtu anazaliwa nazo.
Shule:
Shule ni nyumba za kutoa maarifa, kupunguza na kufuta ujinga.
No level of schooling can transform someone into a genius; intelligence is a natural talent, not merely a product of education.
Yote iliyoorodhesha hapa kuhusu yeye ni vielelezo tosha ya nini nasema.
Swali dogo tu lililo hitaji akili kashindwa kwakua hana akili za ziada. 🚮
Sasa unajiita genius halafu unakimbilia kwenye nchi zilizotengenezwa na wenzako 🤣 🤣 🤣 🤣 Huo ni ufalaSiku nikiwa Tanzania nitakwenda.
Shukran kwa ukaribisho na ushauri🙏
Ulikuwa wapi wewe genius wakati hao mafisadi waki capture hiyo Tanzania? 🤣 🤣 🤣 🤣 Childish argumentUngelikua na hata iota ya akili ungetambua Tanzania is a captured state na kundi la mafisadi na ndio wanapanga nani awe huko Usalama.
But huna akili.
Sasa kama hiyo taasisi inafanya kazi zake vyema, ikawaje itokee yaliyo tokea kwenye uchaguzi?
Ulikuwa mtalii tu shuleni. Nikiwa Tanzania nitaanza nita anzisha hamsa ili your likes mrudishiwe school fees. 🚮
Unazidi kuexpoz ujinga 🚮Kwenye Uongozi hatuhitaji genius or whatever unachojaribu kusema. Tanzania we have stable system not a person. Nchi zote duniani zinatengeneza stable system siyo person. Magufuli alifanya hivyo kwasababu System ili m brand hivyo not him. Kwa kuwa wewe ni short sighted unadhani Magufuli alikuwa hivyo kwa sababu yake mwenyewe.
Kinachokusumbua wewe ni kwasababu ni mwanamke kuwa Rais wa Tanzania. Tena mwanamke wa kwanza kutoka Zanzibar, wote wanataka kupiga shoti ni wanaume ili ionekana wanawake kutoka Zanzibar si chochote si lolote.
Kila mtu analijua hilo
Umeongea ukweli mkuu.. kadiri ninavyoendelea kutembea Tanzania na kujishughulisha kutafuta taarifa, sasa najua ukweli kuhusu nchi yangu.Kwenye Uongozi hatuhitaji genius or whatever unachojaribu kusema. Tanzania we have stable system not a person. Nchi zote duniani zinatengeneza stable system siyo person. Magufuli alifanya hivyo kwasababu System ili m brand hivyo not him. Kwa kuwa wewe ni short sighted unadhani Magufuli alikuwa hivyo kwa sababu yake mwenyewe.
Kinachokusumbua wewe ni kwasababu ni mwanamke kuwa Rais wa Tanzania. Tena mwanamke wa kwanza kutoka Zanzibar, wote wanataka kupiga shoti ni wanaume ili ionekana wanawake kutoka Zanzibar si chochote si lolote.
Kila mtu analijua hilo