Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa tueleze wewe umewahi kuwa hata monitor darasani?
We nawe!
Darasani sisi hatukufika hata 15 na ni darasa moja tu, hakuna A wala B. Throughout 1990s moja ya shule best 6 Tanzania.
Ni shule ambazo hawachukui vilaza or watu average. 🚮

Ruka unavyoweza facts hazibadilishwi kwa maneno. Sisi wote tuna lipenda taifa letu na tunalifanyia mengi sana taifa kila mtu kwa nafasi yake na mengi go unnoticed.

Tuambie sasa wewe unayejiita msomi umelifanyia nini taifa la Tanzania? Do you have any legacy in this country?
Kuishi kwa amani na utulivu, kufuata sheria bila shuruti ni moja ya mambo makubwa ya kizalendo na msingi raia hulifanyia taifa lake; na ndio chachu ya stability taifa lolote linaitaji kupiga hatua kimaendeleo. Ni mengi sana go unnoticed na ni ngumu sana vilaza kutambua mchango huu mkubwa raia wa kawaida wanatoa kwa ujenzi wa taifa lao.
Darasani sisi hatukufika hata 15 na ni darasa moja tu, hakuna A wala B. Throughout 1990s moja ya shule best 6 Tanzania.
Ni shule ambazo hawachukui vilaza or watu average. 🚮
Haya mambo ya kitoto kaka, we are talking about big things. Shule za vipaji sote tumesoma mzee wangu. Tena mimi nilikuwa mtaalam wa Math na Physics kila mtu ananijua shule niliyosoma. Ndio maana nakuona mwenza kama KLF hivi. But hapa tunaongelea dharau zako hizo za kumdhara Amiri Jeshi wa majeshi yote ya Ulinzi na Usalama Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Yaani wewe unajion you are the best kuliko akina Professor Mihanjo pale NDC. Huo ni wenda wazimu kaka. Punguza mihemko ya kisiasa akili zako zitarudi vizuri.

Ruka unavyoweza facts hazibadilishwi kwa maneno. Sisi wote tuna lipenda taifa letu na tunalifanyia mengi sana taifa kila mtu kwa nafasi yake na mengi go unnoticed.
Kaka hizo facts unazoziita ni zipi? Kuulizwa swali la kisiasa na unalijibu kisiasa ndio facts? Nimejaribu kukufundisha kwa kina zaidi lakini hutaki kuelewa sijui ni ugumu wa kuelewa au mahaba niue!!? Wanasiasa wote duniani wapo hivyo. Nikakuambia mara nyingi Trump, Putin, Macron na wengine wengi tu wanaulizwa maswali na wanatoa majibu tata au tofauti na kile walichoulizwa. Kwa sababu wanajua swali linaloulizwa lipo na mlengo wa kisiasa na linaweza kuleta utata. Mh. Samia alienda Urusi kuitangaza Tanzania na kuvutia uwekezaji hakuenda huko kuongelea masuala ya Sanctions na issue za Ulaya mashariki na siasa zao dhidi ya Urusi. Kama mwenye akili kutaelewa hilo. Mwanasiasa huwa anayakwepa maswali ambayo yanaleta msuguano usio na lazima.

But wewe kwa sababu ni mfinyu wa siasa huelewi chochote unakuja na emotions zako. Nimekueleza Samia ni mbombezi wa siasa, ameanza kuwa kuingia kwenye Central Commitee ya CCM since mkapa. Sijui unalijua hilo?

Kuishi kwa amani na utulivu, kufuata sheria bila shuruti ni moja ya mambo makubwa ya kizalendo na msingi raia hulifanyia taifa lake; na ndio chachu ya stability taifa lolote linaitaji kupiga hatua kimaendeleo. Ni mengi sana go unnoticed na ni ngumu sana vilaza kutambua mchango huu mkubwa raia wa kawaida wanatoa kwa ujenzi wa taifa lao.

Hiki ulichoandika hapa ni General opinion kila mtanzania anafanya hivyo. But wana JF wanakutaka wewe binafsi umelifanyia nini Taifa hili? Hicho ndicho cha msingi. Maana wewe umejinasibu kuwa mjuaji mzito kuliko vyuo vifuatazo vilivyompatia PHD ya heshia:
1. RUDN University - Russia
2. Korea Aerospace University - Korea
3. Chuo Kikuu cha Ankara - Uturuki
4. Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru (JNU) - India
4. CISM - International Military Sports Council - Medal of Honour / Order of Merit
5. Umoja wa Afrika - African Gender Champion Award
6. African Development Bank - Tuzo ya Maendeleo ya Miundombinu ya Babacar Ndiaye
7. Jukwaa la Kimataifa la Utalii - World Tourism Forum Lucerne (The Royal Tour)
8. Jarida la Kimataifa la Forbes - (World's 100 Most Powerful Women

NB: Tueleze wewe sasa, hao wote waliompatia tuzo unawazidi akili, majopo hayo wewe pekee unaakili kuwazidi

Ni mtu mpumbavu pekee atasimama na kuanza kupinga ovyo ovyo bila hata sababu kama akina Maria Sarungi
 
Haya mambo ya kitoto kaka, we are talking about big things. Shule za vipaji sote tumesoma mzee wangu. Tena mimi nilikuwa mtaalam wa Math na Physics kila mtu ananijua shule niliyosoma. Ndio maana nakuona mwenza kama KLF hivi. But hapa tunaongelea dharau zako hizo za kumdhara Amiri Jeshi wa majeshi yote ya Ulinzi na Usalama Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Yaani wewe unajion you are the best kuliko akina Professor Mihanjo pale NDC. Huo ni wenda wazimu kaka. Punguza mihemko ya kisiasa akili zako zitarudi vizuri.

Kaka hizo facts unazoziita ni zipi? Kuulizwa swali la kisiasa na unalijibu kisiasa ndio facts? Nimejaribu kukufundisha kwa kina zaidi lakini hutaki kuelewa sijui ni ugumu wa kuelewa au mahaba niue!!? Wanasiasa wote duniani wapo hivyo. Nikakuambia mara nyingi Trump, Putin, Macron na wengine wengi tu wanaulizwa maswali na wanatoa majibu tata au tofauti na kile walichoulizwa. Kwa sababu wanajua swali linaloulizwa lipo na mlengo wa kisiasa na linaweza kuleta utata. Mh. Samia alienda Urusi kuitangaza Tanzania na kuvutia uwekezaji hakuenda huko kuongelea masuala ya Sanctions na issue za Ulaya mashariki na siasa zao dhidi ya Urusi. Kama mwenye akili kutaelewa hilo. Mwanasiasa huwa anayakwepa maswali ambayo yanaleta msuguano usio na lazima.

But wewe kwa sababu ni mfinyu wa siasa huelewi chochote unakuja na emotions zako. Nimekueleza Samia ni mbombezi wa siasa, ameanza kuwa kuingia kwenye Central Commitee ya CCM since mkapa. Sijui unalijua hilo?

Hiki ulichoandika hapa ni General opinion kila mtanzania anafanya hivyo. But wana JF wanakutaka wewe binafsi umelifanyia nini Taifa hili? Hicho ndicho cha msingi. Maana wewe umejinasibu kuwa mjuaji mzito kuliko vyuo vifuatazo vilivyompatia PHD ya heshia:
1. RUDN University - Russia
2. Korea Aerospace University - Korea
3. Chuo Kikuu cha Ankara - Uturuki
4. Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru (JNU) - India
4. CISM - International Military Sports Council - Medal of Honour / Order of Merit
5. Umoja wa Afrika - African Gender Champion Award
6. African Development Bank - Tuzo ya Maendeleo ya Miundombinu ya Babacar Ndiaye
7. Jukwaa la Kimataifa la Utalii - World Tourism Forum Lucerne (The Royal Tour)
8. Jarida la Kimataifa la Forbes - (World's 100 Most Powerful Women

NB: Tueleze wewe sasa, hao wote waliompatia tuzo unawazidi akili, majopo hayo wewe pekee unaakili kuwazidi

Ni mtu mpumbavu pekee atasimama na kuanza kupinga ovyo ovyo bila hata sababu kama akina Maria Sarungi
Buda hata usijieleze sana, kupewa PhD kwa kiongozi sio kuwa ndo ana akili sana , ingekuwa hivyo angeitafuta ya kusomea .
 
Kuna watu waliotesha nyasi jua kali. 😂😂😂
1780811449936.jpeg
 
Tuzo ya MIUNDOMBINU KULE Ghana yeye alikiri kuwa anapokea on behalf ya baba wa miundombinu Tanzania, Dokta wa kweli, John P Magufuli.

Ulimwengu umeshatambua moja ya weakness zake kubwa ni kutunukiwa honoris causae na kuitwa Dokta. Ni kawaida, Trump yeye anataka sana "peace prize" jambo lililo peleka FIFA kumpa baada ya kukosa ile nyingine na yule mwana mama wa Venezuela kuenda kumpa yake. Ni ulimbukeni tu! Kwa sasa, Samia ndio Rais mwenye hizi honoris causae nyingi ulimwenguni.

Yaani ufeli la saba, upate zero form 4 na 6 then uibukie India na elimu ya kuunga-unga halafu honoris causae zianze kunyesha tu ndani ya 5yrs ya urais wako🚮

Nyerere ndani ya 20yrs ya urais hajawahi kupata hizi.🚮
 
Wewe ni timu Maria Sarungi sina cha kuongea na wewe cha ziada. Bye

NB: Unayemuongelea kuwa alifeli la saba ni nani? Unayemuongelea kuwa alipata zero 4 na 6 ni nani? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Maria Sarungi amekuharibu
 
Buda hata usijieleze sana, kupewa PhD kwa kiongozi sio kuwa ndo ana akili sana , ingekuwa hivyo angeitafuta ya kusomea .
Wewe kama msomi hebu nenda kasome masterwork ya Plato The Republic ndio utajifunza zaidi. But ngoja niweke vionjo vichache vilivyomo ndani hapa ili tuende pamoja.
But kabla sijaendelea (Kuna kasumba ya mtu mmoja kufungua accounts zaidi ya moja na kujifanya yeye ni mtu tofauti kumbe ni mtu yuleyule ili aonekane anaungwa mkono na wengi)

Back to Plato:
Plato aligawa jamii (Society) katika class tatu, Gold, Silver and Bronze. Sasa wewe na huyo anayepewa PHD jiulize mpo katika class zipi?

Silver na Bronze wanafanya kazi zao kwa nguvu sana ili kufikia hatima yao ya kupata certifications like hizo PHD na wanaona ufahari kuhangaika ili kuzipata hivyo vyeti. But mtu mwenye Gold Soul hivyo kwake ni ziada lakini target yake ni kutawala.

Soma The Republic utapa Knowledge, asante - ni ushauri tu huu
 
Kwa sababu wanajua swali linaloulizwa lipo na mlengo wa kisiasa na linaweza kuleta utata.
Wewe nawe!
Sasa swali la mtego ndio ujibu usichoulizwa?

jibu swali ulilo ulizwa, kama limeulizwa kimtego jibu kimtego sio utoe matamshi yasio na mshiko.
Hakujibu swali, alitoa tu matamshi yaliyo nje ya swali; nothing intelligent kuhusu hili.

"Swali:
How are you going to circumvent or bypass sanctions?

an appropriate reply to that question was to establish her government's strategies in dealing with sanctions.
However, if the point were to downplay the question, she could have simply answered:
1. I am not in a position to respond to that type of query."
 
Wewe ni timu Maria Sarungi sina cha kuongea na wewe cha ziada. Bye

NB: Unayemuongelea kuwa alifeli la saba ni nani? Unayemuongelea kuwa alipata zero 4 na 6 ni nani? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Maria Sarungi amekuharibu
Tafuta speach yake mwenyewe akikiri hilo, tena kwa lugha nyepesi:
"Sijufanya vizuri mitihani yangu"

Chaguo la Vice President la Magufuli ni Dr. Hussein Mwinyi mwenye elimu ya kweli na uwezo wa kuongoza na kazi zake wala haziitaji mbeleko na hizi honoris causae zosizo na idadi.
 
Tuzo ya MIUNDOMBINU KULE Ghana yeye alikiri kuwa anapokea on behalf ya baba wa miundombinu Tanzania, Dokta wa kweli, John P Magufuli.

Ulimwengu umeshatambua moja ya weakness zake kubwa ni kutunukiwa honoris causae na kuitwa Dokta. Ni kawaida, Trump yeye anataka sana "peace prize" jambo lililo peleka FIFA kumpa baada ya kukosa ile nyingine na yule mwana mama wa Venezuela kuenda kumpa yake. Ni ulimbukeni tu! Kwa sasa, Samia ndio Rais mwenye hizi honoris causae nyingi ulimwenguni.

Yaani ufeli la saba, upate zero form 4 na 6 then uibukie India na elimu ya kuunga-unga halafu honoris causae zianze kunyesha tu ndani ya 5yrs ya urais wako🚮

Nyerere ndani ya 20yrs ya urais hajawahi kupata hizi.🚮
Samia aliingia kwenye CCM Central Committee (CC) mwaka 2002 sijui wewe ulikuwa wapi. Na kabla ya hapo alikuwa mjumbe wa NEC. Unadhani kazi hiyo ni rahisi mzee.

Yaani miaka yote hiyo asijue siasa halafu wewe umzidi na Maria Sarungi wako?
1986 - Alipata advanced diploma (Kipindi hicho ilikuwa Equivalent to Degree) Public administration - Wewe 1986 ulikuwa wapi?
1992 na 1994 alisoma University of Manchester akapata - Postgraduate diploma in economics (Wewe miaka hiyo upo O-Level pale Tanga Tech ukicheza)

Sasa unakuja unaleta takwimu za uongo hapa ili kujifurahisha wewe na Maria Sarungi, Uwe mkeli acha chuki zako hizo za kipuuzi. She is a Woman and she is doing very good zaid ya wanaume wengi tu duniani kwenye mataifa yao.

Tangu Nyerere aende huko Urusi ni yeye wa pili kwenda huko. Mambo haya yanawauma sana wanaume waliowengi. Wanajiunga kumchafua kila kona. But aliyebarikiwa kabarikiwa tu, watu wenye akili wanaona
 
Back
Top Bottom