Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni swali la kipuzi kwako na kwa wadanganyika wenzio kwa sababu you don't want to live with the bitter truth that you live in a least developed country and that it will take you ages to get out of that murky water that is ldc. Kuhusu chakula na misaada, when did kenya get relief food from Tanzania or any country for that matter? Do you know what relief food is? Nipe link inayosema kwamba kenya ilipokea relief food from Tanzania. The fact that we occasionally buy maize from Tanzania doesn't mean that we don't produce our own.Tanzania also buys milk from Kenya, does it mean that it doesn't produce its own milk? You need to go back to school and learn something called "international trade". Na ni maisha gani bura mnaisha wakati tuko na bigger middle class kuwaliko? Numbers don't lie kijana wa tanganyika
Kenya: VP receives food donation to be distributed to residents of Ngomeni division, Mwingi District
 
Nimeona mahali wameandika nyama stek kumaanisha steak😀😀😀😀 ama nakosea? wabongo lakini😀😀😀
10.JPG
si bure babu yako alikuroga
 
kitu nimependa Tanzania vitu ni bei rahisi...mimi hapa ningekuwa naishi tanzania ningekuwa tajiri...warembo wote wa Bongo wangekuwa wananipea kila siku...coz if you have 1000 KSH in Tanzania inanunua shopping mzuri sana....hongereni kwa hilo...inflation mume maintain chini
Umepatwa na nini leo jirani?.. mbona hiki sio Kiswahili chako..
 
Aise unaleta reporti ya mwaka 2009 tukiwa 2018 wacha kujiaibisha.
Hata iwe ni miaka ishirini iliyopita, lengo nikukuonyesha kwamba, njaa Kenya na kupewa misaada ya chakula halijaanza leo, ni tatizo la muda mrefu na litaendelea kudumu kwa miaka mingi ijayo, nchi imekua ikiishi kwa kutegemea food donations hiyo, vipi mnajilinganisha na Tanzania katika standard of living?
 
Kuna watu wako na uchungu na Kenya kwa sababu IMF na world bank zimewaweka LDC. ni bidii tu .sio povu na mafusi jf
 
Back
Top Bottom