Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

engineer Olunga ...
f3405133d3d7ba3c63c01287ae8969c5.jpg
 
Hata kama still the gap is bigger, how much is one liter of cooking oil in Kenya?
50kg of cement in tanzania is 450ksh

50kg of cement in kenya is 750ksh so unategemea nani atajenga nyumba ya blocks we huoni nyumba zao ni nyumba za mabati na udongo😀😀😀😀😀
 
Katika harakati zangu za kuongeza uwekezaji Jijini Dar.. February anakuja kufanya survey apate maeneo ya beach tuongeze ajira kwa vijana wetu..

Dubai - Dar

cb057a8ebfd48f42ba22e28f5430d843.jpg
a470c7c1ce232d81fd319cd778fbaa3e.jpg
b554e26f7d2bff6e0968a4dd4411b443.jpg
 
Ona Hata sijamaliza kuandika angalia google inachoniletea

ac5ba49aa1684f4263da38a0caa99331.jpg
wacha hayo maswali...mimi nikiuliza napata maswali kama
is tanzania a city or a country?
is tanzania a city in Kenya?
Is Kilimanjaro in Kenya?
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
yaani hata hamjulikani kama ni nchi au mji
ndio maana huwa wanasema Diamond ni mkenya..
 
50kg of cement in tanzania is 450ksh

50kg of cement in kenya is 750ksh so unategemea nani atajenga nyumba ya blocks we huoni nyumba zao ni nyumba za mabati na udongo😀😀😀😀😀
Hahaha haya majamaa ni shida tupu hovyo kabisa sasa nashangaa bragging za nini wakati makapuku wa kutupwa Nairobi city center kuna nyumba thousands za udongo ni maajabu
 
50kg of cement in tanzania is 450ksh

50kg of cement in kenya is 750ksh so unategemea nani atajenga nyumba ya blocks we huoni nyumba zao ni nyumba za mabati na udongo😀😀😀😀😀
99% of all multinational companies in East Africa have headquarters in Kenya....unategemea bei za bidhaa ziwe kama za nchi LDC? nchi isiyo na umuhimu wowote kwa wawekezaji wa nje
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
the basic rule of supply and demand...
when demand is high, prices go up, when demand is low, prices remain low...thats why a Kiberan can buy land in Daresalaam vry easily but a middle class Tanzanian cannot even afford land in Isiolo
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Hahaha haya majamaa ni shida tupu hovyo kabisa sasa nashangaa bragging za nini wakati makapuku wa kutupwa Nairobi city center kuna nyumba thousands za udongo ni maajabu
99% of all multinational companies in East Africa have headquarters in Kenya....unategemea bei za bidhaa ziwe kama za nchi LDC? nchi isiyo na umuhimu wowote kwa wawekezaji wa nje
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

prices are high in South Africa, Egypt and Nigeria too...why? because these are important countries in Africa that attract alot of investment...high demand high prices... simple common sense
 
Bei ya bidhaa tanzania ipo chini kwa sababu Tanzania sio nchi yenye umuhimu wowote kibiashara ukanda huu...wajinga wana expect bei ya bidhaa nchini Kenya iwe sawa na bei ya bidhaa Tanzania huku kampuni zote za ng'ambo zipo nchini Kenya zinafanya biashara...bei ya ardhi tu inapanda asilimia 500 jijini Nairobi kwa sababu ya wawekezaji kama Hilton Hotel, Coca Cola, Google na Microsoft
 
Back
Top Bottom